Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

Tanzania yazionya mashirika yote ya ndege yanayofanya safari za moja kwa moja Kati ya Kenya na Tanzania kusitisha haraka safari hizo

Mpaka mbado imefungwa na utaendelea hivo na ulizi kwenye uwo mpaka mpaka sasa upo mkuu.
Sio kujitambua mkuu, tumepata rais ambaye anajali maslahi ya Tanzania. Nyerere alifunga mpaka kwa miaka mingi tu hadi Sokoine alipoondoa hilo tatizo kwa ushawishi wake. Tumerudi kule kule, this time around lazima kilichomtoa kanga manyoya kionekane.
 
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.

MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu tuambie Multinational moja tu yenye Regional Office Tanzania. Naweza kukutajia 20 zilizopo Kenya bila kufikiria.

Jidanganye tu kuwa kuna kampuni ya ndege itakayojali hilo "onyo ". The loser will be your god.
 
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.

Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Go to hell tuachie Tanzania yetu
 
Mjinga kama mama yako! kwahiyo hii vita ya unfair trade tuipigane vipi mbwigambwiga? hata kwenye korosho mliongea hivihivi!
Sasa kwenye hizo korosho alifaulu? Mbona msimu uliofatia tena being zilikuwa zile zile ambazo serikali ililazimisha wakulima wazikatae?

Alafu una habari mpaka leo intermediaries kibao kwenye hilo zao hawajalipwa chochote tangia 2018 na wengine walishauziwa na mali zao?
 
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Hama uraia Kaka. Kwani umeshikiwa bunduki kuwa mtz, kama unaona sio sawa hamisha uraia Tu. Zimefungiwa ndege za Kenya zilizokuwa zinaingiza mabilioni kwa serikali je we ni nani ututingishe? Hama tu kiroho safi.
 
And who will loose? How many Tanzanians are employed by these banks? Kweli ujinga ni mzigo.
Mjinga kama mama yako! kwahiyo hii vita ya unfair trade tuipigane vipi mbwigambwiga? hata kwenye korosho mliongea hivihivi!
Hizi friction za kijinga kijinga kati ya mtu na mtu ndiyo huwa baadaye zinakuja kuzaa mambo makubwa na mazito kati ya nchi na nchi, nyinyi hamjui tu. Mipaka ya Tanzania na Kenya iliwekwa na wakoloni. Nawasihi sana msiendelee kuwa wajinga kiasii hiki
 
Kwani hii ni mara ya kwanza sisi kuwa na mzozo na Kenya. What do we have to lose? As long as Tanzanians quarantine is none exceptional, then we'll pin them to their levd5 u dnt like it shut up and live your life kama una nyanya yako kule mfuate au akuje period. Tanzania can surely prosper without Kenya and Kenya can prosper without Tz sasa kelele za nini.

Hivi mnathani hawa Marais hawakufanya tathmini, wana jua faida na manufaaa a kama impact ni ndogo then pin them. Isitoshe really speaking Kenya is the top 5 investor country in Tanzania so who stands to lose if the show goes on? If it were the SADC block then Tanzania would have alot to lose, think this way trade margin between Tanzania and SADC is higher compared EAC and Tanzanian.
Hizi friction za kijinga kijinga kati ya mtu na mtu ndiyo huwa baadaye zinakuja kuzaa mambo makubwa na mazito kati ya nchi na nchi, nyinyi hamjui tu. Mipaka ya Tanzania na Kenya iliwekwa na wakoloni. Nawasihi sana msiendelee kuwa wajinga kiasii hiki
 
Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu, tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).

Am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Clueless: Uganda na Rwanda hatuko nao kwenye nini? So sasa hivi hauko proud kuwa mbongo ila wayback miaka ya 2013 - 15 tulipokuwa tukigaragazwa na CoW ulikuwa proud siyo? Nna mashaka na u-Bongo wako.
 
Unakumbuka "Coalition of the willing ?", unakumbuka mkataba wa EPA?, unakumbuka bomba la mafuta la Uganda?, naomba utaje maeneo matatu ambayo Kenya iliibwaga Tanzania
Achana naye. Kajichanganya kwenye kitu hajui. Empty head.
 
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.

MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna viongozi ndani ya Kenya walidhani(assumed) kuwa kwa kuzuia wa Tz kwenda Kenya na ndege za KQ kuja Tanzania wangechukua mwanya huo kutumia ndege zao ndogo( Private Jets/private Kenyan registered planes) to ply between Tz and Kenya not knowing Tz is a nation of vision!!! Ndege za Musyoka, Macharia, Kamau, Abdullah, Joho, Mudavadi would have taken over the tourism business!
 
I concur with you
Kuna viongozi ndani ya Kenya walidhani(assumed) kuwa kwa kuzuia wa Tz kwenda Kenya na ndege za KQ kuja Tanzania wangechukua mwanya huo kutumia ndege zao ndogo( Private Jets/private Kenyan registered planes) to ply between Tz and Kenya not knowing Tz is a nation of vision!!! Ndege za Musyoka, Macharia, Kamau, Abdullah, Joho, Mudavadi would have taken over the tourism business!!
 
Bomba la chang'aaa yani Kenya aka kunyaland ni taifa la taputapu
Mmmmh...hahaha...it is the other way round...Kenya kamwe haiwezi kuishinda TZ...Uganda kamwe haiwezi kutangaza uadui na T

Pengine anazungumzia bomba la chang'aa ...
 
Back
Top Bottom