Mpaka mbado imefungwa na utaendelea hivo na ulizi kwenye uwo mpaka mpaka sasa upo mkuu.
Sio kujitambua mkuu, tumepata rais ambaye anajali maslahi ya Tanzania. Nyerere alifunga mpaka kwa miaka mingi tu hadi Sokoine alipoondoa hilo tatizo kwa ushawishi wake. Tumerudi kule kule, this time around lazima kilichomtoa kanga manyoya kionekane.