Unadhani hatujui ni kwa kiwango gani mahakama zetu ni dhaifu?Huo ni mtazamo wako kwakuwa haki haikuwa upande wako
Hata Odinga asema mahakama za Kenya ni dhaifu kisa kashindwa kesiUnadhani hatujui ni kwa kiwango gani mahakama zetu ni dhaifu?
Sisi hatuangalii anachosema Odinga, tunapima kutokana na uhalisia wa kinachofanyika.Hata Odinga asema mahakama za Kenya ni dhaifu kisa kashindwa kesi
Uhalisia upi?Sisi hatuangalii anachosema Odinga, tunapima kutokana na uhalisia wa kinachofanyika.
Usioupenda.Uhalisia upi?
Naunga Hoja..Halafu utashangaa Wakenya wanafungua anga na sisi hao kurupu tunafungua.
Dawa ni ban ya mwaka mzima hata wafungue na hoja ipelekwe kamati ya Bunge wakakazie Bungeni ipigwe ban ya mwaka mzima.
Njoroge hawana maana kabisa
Hii ni nooma sana, hatuna rafik wala jiran hapo.
Halafu walivyo wapumbavu tuliwapa Tan za mahindi wakala na kuvimbirwa sasa wameanza kutujambia hawa…Sasa hivi hakuna ukame huko mna sauti za kuongea eeh?
Acheni kuwabembeleza hawa mbwa acha watulie kwanza dawa iingie kwani hawakujua matokeo ya walichokifanya? Wambieni Kikao mtakaa mwezi wa tano ….
Hii movie kuna vitu si vielewi. Hasa ukizingatia toka twaambiwa nishati inazorota kutokana na miundombinu isiyofanywiwa matengenezo kwa wakati......ukiwachekea chekea wana janja janja....
Tulieni dawa iwaingie….Mbona Tanzania hawakuenda kwa mahakama ya EAC kama Uganda walivyo enda huko kuwasilisha kesi ya kutumia Kenya Pipeline kusafirisha mafuta yao? Haya maamuzi yao ni ya hasira na kitoto kulipiza kisasi hivyo.
Hizo visa za Ulaya tutapataje au nawe ni ajent wa balozi za ulaya? Kupata suluhu haraka ni jambo zuri.Acheni kuwabembeleza hawa mbwa acha watulie kwanza dawa iingie kwani hawakujua matokeo ya walichokifanya? Wambieni Kikao mtakaa mwezi wa tano ….
Soma barua wamesema kuanzia 22 January wewe anakuja 17 january atakuja n a KQTar 17 nna wageni wangu wanakuja dsm na KQ
sasa hapo inakuwaje
Ova
Kwahiyo mzee PK yupo tayari kwa kazi?Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.
======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024
Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi
Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024.
UPDATES:
- Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3
View attachment 2872698
Kweli kabisa, Makamba awawache waongee na balozi au waje wao huku. Asijipeleke.Halafu walivyo wapumbavu tuliwapa Tan za mahindi wakala na kuvimbirwa sasa wameanza kutujambia hawa…
Hawa dawa yao ni jino kwa Jino lazima wajilete…Samia alieaonea huruma maana Magu aliwakomesha sana sasa naona wanaleta mazoea wanadhani Mama ni mjinga sasa wacha wale za uso!
Halafu Makamba asiende kwanza kuongea nao awambie akipata muda atawajuza hawa nguchiro
Kwa mujibu wa barua ya Johari, issue yahusu ndege za mizigo lakini Tanzania yapiga ban ndege za abiria.Kweli kabisa, Makamba awawache waongee na balozi au waje wao huku. Asijipeleke.