Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

Wanajeshi wetu hawajapigana muda mrefu chokochoko kama hizi ni muda muafaka wa kutest mitambo
 
Halafu utashangaa Wakenya wanafungua anga na sisi hao kurupu tunafungua.

Dawa ni ban ya mwaka mzima hata wafungue na hoja ipelekwe kamati ya Bunge wakakazie Bungeni ipigwe ban ya mwaka mzima.

Njoroge hawana maana kabisa
Naunga Hoja..
 
Sasa hivi hakuna ukame huko mna sauti za kuongea eeh?
Halafu walivyo wapumbavu tuliwapa Tan za mahindi wakala na kuvimbirwa sasa wameanza kutujambia hawa…
Hawa dawa yao ni jino kwa Jino lazima wajilete…Samia alieaonea huruma maana Magu aliwakomesha sana sasa naona wanaleta mazoea wanadhani Mama ni mjinga sasa wacha wale za uso!

Halafu Makamba asiende kwanza kuongea nao awambie akipata muda atawajuza hawa nguchiro
 
Mbona Tanzania hawakuenda kwa mahakama ya EAC kama Uganda walivyo enda huko kuwasilisha kesi ya kutumia Kenya Pipeline kusafirisha mafuta yao? Haya maamuzi yao ni ya hasira na kitoto kulipiza kisasi hivyo.
Tulieni dawa iwaingie….
 
Acheni kuwabembeleza hawa mbwa acha watulie kwanza dawa iingie kwani hawakujua matokeo ya walichokifanya? Wambieni Kikao mtakaa mwezi wa tano ….
Hizo visa za Ulaya tutapataje au nawe ni ajent wa balozi za ulaya? Kupata suluhu haraka ni jambo zuri.
 
Kumekucha.

Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.

Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.

======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024

Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi

Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024.

UPDATES:
- Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

View attachment 2872698
Kwahiyo mzee PK yupo tayari kwa kazi?

Hivi hawa jomba sasa namna gani, kwanini iko hivi?

Kwahiyo baada ya 22 January, Rwandair hiyooo yatua Dar kila mara.

Hawa ndugu zetu ni wajinga kidogo, kwani wakati wa Covid walikuwa watulazimisha kwenda quarantine kwa 14 Days.

Na hiyo ni licha ya kuwa na orodha ya nchi 100 ambazo raia wake hawakutakiwa kwenda quarantine!

JPM RIP akapiga ban ndege zao kutua JNIA na KIA na Rwandair wakaziba pengo.

Safari hii Rwandair wakichukua hizo routes iwe kimoja.
 
5th Freedom allows an airline based in country A to uplift passengers or cargo from country B to country C without going back to their hub i country A. Eg KQ currently operates flights from Kigali to Bujumbura, in reciprocation, Kenya has allowed Rwandair to operate from Mombasa to Dubai.
Kenya and Ethiopia also had a 5th freedom arrangement where KQ operated from Addis to Djibouti and ET operated Addis Mombasa as a reciprocation.

What TZ is claiming reciprocation for is laughable. They want Kenya to grant Air TZ 5th freedom rights to uplift cargo from Nairobi to country C not TZ. What they should allow Kenya is a similar arrangement for KQ to fly cargo from TZ to another country eg Jo’burg and it should never involve KQ passenger traffic for Nairobi-Dar which has nothing to do with 5th freedom.
 
Halafu walivyo wapumbavu tuliwapa Tan za mahindi wakala na kuvimbirwa sasa wameanza kutujambia hawa…
Hawa dawa yao ni jino kwa Jino lazima wajilete…Samia alieaonea huruma maana Magu aliwakomesha sana sasa naona wanaleta mazoea wanadhani Mama ni mjinga sasa wacha wale za uso!

Halafu Makamba asiende kwanza kuongea nao awambie akipata muda atawajuza hawa nguchiro
Kweli kabisa, Makamba awawache waongee na balozi au waje wao huku. Asijipeleke.
 
Kweli kabisa, Makamba awawache waongee na balozi au waje wao huku. Asijipeleke.
Kwa mujibu wa barua ya Johari, issue yahusu ndege za mizigo lakini Tanzania yapiga ban ndege za abiria.

Hii waisoma vipi hii?
 
Back
Top Bottom