Tena wapige ban na magari ya abiria na mizigo.Kwa mujibu wa barua ya Johari, issue yahusu ndege za mizigo lakini Tanzania yapiga ban ndege za abiria.
Hii waisoma vipi hii?
Wewe kima acha matusi tutakutia dola la katiiiiWajinga tu nyie wenye, uchungu wa kufiwa usioisha. Hoja yako ya maana ni nini hapa sasa kama sio upuuzi tu?!!!! Mwishowe mumchukiae atawaonyesha dole la kati 'live', mabwege nyie!
Wakati walipozuia ndege za Tz kwa kigezo cha lockdown Watz wengi walilishwa sumu kwamba tatizo ni Magufuli (roho mbaya yake) na siyo ushindani, sasa hili la leo pia Magufuli ndiyo bado ni tatizo?Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.
======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024
Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi
Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024.
UPDATES:
- Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3
View attachment 2872698
Hakuna jema Mtz atafanya Mkenya akakubali.Wakenya ni wabinafsi, halafu wana nongwa sana.
Unasemaje aunt seth?!!!Wewe kima acha matusi tutakutia dola la katiiii
Acha matusi utatiwaaUnasemaje aunt seth?!!!
Alimfavour Ruto, akajiwahi kumpongeza kushinda urais wakati kesi ikingali Mahakama ya Upeo kusubiri uamuzi, acha Ruto amnyooshe.Mama yenu si alifungua Nchi.
Nalo neno mkuu.Mama yenu si alifungua Nchi.
Wake zenu watawafuata tu kupitia Rombo kwenda kuhemea mimba.Na hatuwaoi tena wakenya
Hili jambo linahitaji high level intervention ili lisiendelee kuhatarisha EAC.
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imeeleza kuwa kwa niaba ya Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeamua kufuta vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia 22 Januari 2024
Taarifa hiyo imedai hatua hii ni baada ya uamuzi wa mamlaka ya anga ya Jamhuri ya Kenya kwenda kinyume na Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Maelewano kuhusu Huduma za Ndege, kati ya Tanzania na Kenya yaliyotiwa saini Novemba 24, 2016 Jijini Nairobi
Kufuatia Uamuzi huu, hakutakuwa na safari za ndege za abiria kwa KQ kati ya Nairobi na Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 Januari 2024
Wanaogopa ATCL itawapelekea Nairobi Red Eyes... Hahahaaa...Good move ATCL. WaKenya ukiwachekea chekea wana janja janja nyingi sana.
Kama wamekatalia ndege za ATCL kubeba mizigo ina maana za makampuni mengine zinabeba. Why ATCL akataliwe?
Ila tukumbuke hasara ni kubwa kwa Tz kuliko Kenya kwa sababu licha ya JKIA kuwa ndogo kwa JNIA; JKIA ni Hub. Ukizuiliwa ku-access Hub umeuawa kibiashara. Tupambane JNIA iwe Hub kwa sababu kwa ujenzi wake, ni ya pili kwa idadi kubwa ya abiria inayotakiwa kuhudumia kwa mwaka nyuma ya Oliva Tambo International Airport. Tatizo kwa serikali ya CCM yetu hili hili ni gumu kutekelezeka.Good move ATCL. WaKenya ukiwachekea chekea wana janja janja nyingi sana.
Kama wamekatalia ndege za ATCL kubeba mizigo ina maana za makampuni mengine zinabeba. Why ATCL akataliwe?
Haiondoi ukweli kwamba JP waa a blood sucking monsterWakati walipozuia ndege za Tz kwa kigezo cha lockdown Watz wengi walilishwa sumu kwamba tatizo ni Magufuli (roho mbaya yake) na siyo ushindani, sasa hili la leo pia Magufuli ndiyo bado ni tatizo?
Mbona wanachama wapya wanataka kujiunga Ethiopia, Djibouti na Somalia na kufanya EAC consumer market kuwa na watu 800ml sawa na 57.14% ya watu wa Uchina.Hii Jumuiya kila mtu ashike lake tu kwa sasa
Chakula watatoa wapi ,wakenya ,watakufaa njaaHapo ni sawa
Wasituchukulie poa
Funga na boarder
Kila upande ujitegemee
Ila mkuu tukichunguza kiumakini bado tuna hasara Tz kuliko Kenya kwa vigezo vifuatavyo:-Safi sana hiyo kitu kwenye diplomasia ya kimataifa inaitwa scratch my back I Scratch yours
Safi sana Raisi Samia uko vizuri sana kwenye hili
Nipongeze na wataalamu walioshauri uamuzi huo uchukuliwe wako vizuri kichwani
Serikali iendelee kuajiri walio vizuri sana vichwani kushika nafasi nzito Raisi hawi na kazi nzito sana
Wataalamu wamenifurahisha sana Kwa hili limeenea kiusomi,kiutaalamu na kiuzalendo
Kama vyura wa Kihansi walivyorudishwa toka US.Tena kama wametotoa warudishe na vifaranga
Hapa Tanzania tuko sahihi kujibu mapigo. Usipofanya hivyo itakula kwakoMama
Hujui undani wa migogoro ya EU, BREXIT ni zao la mivutano!EAC ni muungano wa kihuni sana na utasambaratikaga kihuni sana,Rwanda na Burundi wana bifu,Rwanda na Congo bifu,Uganda na Kenya bifu ya biashara ya mafuta na sasa Kenya na Tanzania tena. Muungano kama EU wana mashariti magumu sana kupokea wanachama,ndio maana huwezi sikia wanakwaruzana wao kwa wao.EAC ni muungano wa kihuni
Basi walikudanganya, fanya kazi na tumia akili zako, achana na kuishi kwa kusikiliza machawa wakati wewe ni binadamuNa bibi yenu na machawa wake waandamizi