Tanzania yenye Wabunge wenye Poor Thinking kama hii na walio 'very Sycophant' ndiyo mnategemea ipige Hatua Kubwa za Kimaendeleo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum.

Chanzo: EastAfricaTV

Huwa napenda sana Kutizama 'Mabunge' ya Kenya, Uganda, South Africa, India na Uingereza yenye Watu serious mno.
 
Wale wamewekwa na magufuli Ili abadili katiba atawale milele,wale ni sante magufuli Hakuna aliyeshinda hata mmoja wale ni chaguo la magufuli na sio chaguo la wananchi. Kuthibitisha hili 2025 Hakuna hata mmoja atakaemudu kurudi bungeni akiwemo speaker.
 
Ila rafiki yangu huwa nakusifu Kwa uvumilivu. Hili Bunge unapata Muda wa kuwafuatilia? Anza kufuatilia mabunge ya Wanafunzi utapata cha maana kuliko Hilo kusanyiko la Bundi.
true say yaani unakuta mtu ni PHD holder sijui arguments zake unaweza jificha chini ya uvungu hata sisi ambao hatujui na atujasomea uchumi tunaogopa aisee kuna mama mmoja leo sijamuelewa kabisa ni wa viti maalumu nafikiri ana PHD yule akili ndogo sana
 
Afadhali umesema wewe dada mkubwa, nakukubali hoja zako dada ake.

GAME CHANGER, MWANAMAMA MWENYE AKILI KUBWA.
 
"Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum.

Chanzo: EastAfricaTV

Huwa napenda sana Kutizama 'Mabunge' ya Kenya, Uganda, South Africa, India na Uingereza yenye Watu serious mno.
Hoja yako na yake ni ipi hasa?
 
true say yaani unakuta mtu ni PHD holder sijui arguments zake unaweza jificha chini ya uvungu hata sisi ambao hatujui na atujasomea uchumi tunaogopa aisee kuna mama mmoja leo sijamuelewa kabisa ni wa viti maalumu nafikiri ana PHD yule akili ndogo sana
Anaitwa Dk. Christine Ishengoma.
Zero mpaka kuongea.
 
Back
Top Bottom