Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
6. ChawaKuna mdau alisema maadui wa Tanganyika wameongezeka, nao ni
1. POLISI
2. UJINGA
3. MARADHI
4. CCM
5. UMASKINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6. ChawaKuna mdau alisema maadui wa Tanganyika wameongezeka, nao ni
1. POLISI
2. UJINGA
3. MARADHI
4. CCM
5. UMASKINI
Mafuta siyo madini! Ndiyo sababu zamani tulikuwa na wizara moja inaitwa "Maji, Nishati na madini. Kwa maana hiyo mafuta yako kwenye kundi la Nishati.Mafuta sio madini ?....maana huitwa dhahabu nyeusi....yakipatikana huko Zenji huenda yakajumuishwa kwenye hayo makubaliano ?
Nguruvi3 Kalamu Pascal Mayalla zitto junior
Kweli maana hii ni Jamhuri ya Muungano WA Tanzania kwa maana pana nchi mbili humo ila ingelikuwa Jamhuri ya Muungano YA Tanzania hapo ingekuwa na maana nyingine kabisa.Tanzania, Zanzibar? Siyo Tanganyika, Zanzibar?
Huu muungano mugumu kuutafsiri.
Nadhani Zanzibar itaomba kupewa baadhi ya migodi. Hata wakipewa mgodi mmoja tu unatosha kuwalisha wote 1.8ml idadi yao. Ila ni aibu ka-nchi kama tarafa tu kale kuipigisha kwata Tanzania ya watu 61ml (Zanzibar kuikolonisha Tanzania).Hapo siyo kuna njia inatengenezwa kwamba Zanzibar ikianza kuuza dhahabu au Tanzanite nje ya nchi ionekane kuna mashirikiano na ni kitu kimoja? Au huko Zanzibar napo kuna madini?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
😅😅😅Hatupoi kwenye DPW, hata waingie mkataba wa kilimo dar na mwanza sisi ni mbele kwa mbele, hawatutoi nasema Tena hawatutoi, pumbavu
Haa haa haa haa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSijui hawa wanajeshi wanangoja nini ?!?!?
Kumbe wanao dai Tanganyika wapo na haki hakuna muungano hapa nchi moja msaini mkataba kivipi?Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara hizo mbili zilizopo katika upande wa Muungano ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Februari, 2023 jijini Arusha ya kushirikiana kwa lengo la kufanya madini yaliyopo katika maeneo husika yaweza kuleta manufaa kwa pande zote mbili.
Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa ofisi ndogo ya Wizara ya Madini jijini Dar es Salaam Dkt. Biteko amewataka watendaji wa wizara hizo kusimamia utekelezaji wa makubaliano
“Maelekezo ya Mheshimiwa Rais yalitupa dira mpya katika kuendeleza mashirikiano yetu, hivyo tulichosaini leo sio kwa ajili ya kupiga picha bali ni kwa ajili ya kazi tuliyojipatia, natamani kuona mambo tuliyosaini hapa yanakuwa mfano na yanafanyika kwa weledi kwa ajili ya manufaa ya pande zote mbili,” amesema Dkt. Biteko
Aidha, Dkt. Biteko amewataka watendaji wakuu wa pande zote mbili kusimamia masuala hayo ili yaweza kutokea huku akitaka kuanza kusimamia masuala ambayo hayahitaji rasilimali fedha kubwa ikiwemo kufanya tafiti hivyo yale yanayowezeka yaanziwe kufanyiwa kazi leo na sio kungoja.
Pia, amewataka Makatibu Wakuu wa pande zote mbili kutengeneza timu ndogo ya kusimamia makubaliano hayo ili kuhakikisha ushirikiano huo unadumu na kuwa wa mafanikio katika pande hizo mbili.
Naye, Waziri wa Maji, Nishati na Madini Shaibu Hassan amesema utiaji wa saini wa makubaliano hayo usiishie kwenye makaratasi bali ufanisi na utendaji unaotakiwa kuonekana ukaonekane.
“Kitendo kinachofanyika leo ni kitendo muhimu sana kwa kwa pande zote mbili ambapo viongozi wetu wa juu wamekuwa wakitusisitiza kuendeleza mashirikiano ambapo tunategemea kushirikiana hasa katika suala la utaalamu hususan katika kufanya tafiti kwa pamoja,” amesema Hassan.
Pia, Hassan amesema ushirikiano huo utazaa toka kwa pande zote mbili za muungano na kuwataka watendaji wa wizara yake kufanya kile kinachowezekana kunyika leo na wasingoje kesho.
Jumla ya Hati Tano za Makubaliano zimesaniwa kwa taasisi zote zilizo chini ya wizara ambazo ni Tume ya Madini, Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Mafuta, Madini na Gesi Asilia, Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) pamoja na Kituo cha Jemolojia na Tanzania (TGC)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nchi mbili tofauti zaingia makubaliano...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe wanao dai Tanganyika wapo na haki hakuna muungano hapa nchi moja msaini mkataba kivipi?