John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Doctor or Witch-Doctor?Daktari Nchemba
Sikubahatisha katika kuandika hicho nilichoandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doctor or Witch-Doctor?Daktari Nchemba
ni kweli hata ya kwangu wameifuta, nilikua nimeandika hivi:Kubabake mods wana kazi ya kufuta comments zinazompiga madongo Mheshimiwa.
Hata Nyerere aliuliza mgombea binafsi anaogopwa kwa nini?Nchi mmeiharibu kwa mikono yenu
Ni muda muafaka mtafakari tutatokaje hapa, na tutaendaje mbele
Mkunbuke Kuna watu mil 60 wako nyuma wahahitaji kula, kutibiwa kulindwa nk.
Kwenye vikao vyenu Mmshauri mama yenu akubali kuahirisha uchaguzi tupate katiba mpya.
Kubalini tuanze upya kama nchi huku mtaani Kuna vichwa siyo ccm na haviko serikalini vitasaidia akili ya kutukwamu tuvitumie
Acheni ubinafsi wa kichama mambo ya siyo mwenzetu yakome hii nchi yetu sote, watu wazuri wapo lakini mfumo unawakataa, kubalini tu ambao hawajaiba imetoka hiyo
Dili la mwisho kabla ya kuanza upya
liwe la sukari na bandari inatosha
Katiba mpya iondoe monopoly ya kisiasa, kiuchumi, ajira na nk.
Katiba mpya itupe mgombea binafsi
Haya mavyama Yana shida zake
Ushauri Wetu wazalendo unaweza uchukua au uacha lakini huko mbeleni utatukumbuka mambo yakiwa magumu.
Poppy Hatonn leo anaitwa mtoto wa juzi ama kweli JF uwanja wa fujoNyie ndio watoto wa juzi na mmeharibu sana JF hii. Awali JF ilikuwa uwanja mpana sana wa majadiliano bila woga na kuheshimiana na karibu Mawaziri wote senior walikuwa humu, wanasiana wote mashuhuri na watendaji wa taasisi zote uzijuazo na taasisi zenyewe zikawa na page zake.
Lakini vijana wa kitanzania wa hovyo mkaingia humu na matusi na kejeli hivyo jukwaa likadharaulika.
Kulikuwa kukishushwa nondo zilizoshiba za kina DR Slaa na ma profesa kadhaa hadi unasahau kazi ili usome hoja.
Sasa wamejaa kina Lucas Mwashambwa & company JF imekuwa kikundi cha kwaya ya mapambio na kuabudu utadhani watu tumekatwa vichwa!
AaahhaaaPunguzeni magari kwenye misafara yenu, mnatuumiza.
Swala la ajira kwa vijana litawagharimu sana kama Kenya, muulizeni JK aliwezaje kuajiri kila mwaka, nyie mnafeli wapi?
Na mbona hakuna mradi mpya wa maana mnaoanzisha? Mnatembelea alipopita mwendazake, hamna vision au hamna hela?
Mwisho,mbona tukiwaombea dua mbaya kwa mnavyotutesa haziwashiki ndio kwanza mnazidi kupeta,mnafanyafanyaje
Acha hizo mkuu.Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Anataka tumuamini kwa porojo ni aheri angekaa kimya kabisa, huu hauwezi kuwa utetezi.That's very true mkuu. Huyu waziri kwa maelezo yake tunamtofautisha vipi na jamaa wa TanzaniaLeaks? Unapinga uongo kwa kutuletea porojo tena msomi wa PhD, unataka tukuelewe vipi?
Mweee...🙄🙄Tuna jeshi ambalo limetengenezwa katika misingi ya uoga na siasa.
Kalime viazi upate hela huyo unaempigia chapua ikulu ataisikia tu kama wewe unavyoisikia atakwenda kusalimia tu lakini hana hata chembe ya presidential material, ni huyo huyo alituambia tuhamie burundi na ni huyo huyo aliyemshukuru magufuli baada ya kupona ajali, hivyo ukae ukijua ikulu atakwenda kunywa chai au asubiri rais wa US akija hapo ikulu atapata mwalikoMheshimiwa heshima kwako asee mtu wangu wa nguvu. Nachokuomba mwanangu mtu wangu wa nguvu usinisahau 2030 kuendelea kwenye ufalme wako hata ubalozi ama UDC.
Mungu akulinde kwenye majukumu yako. Mfikishie mama salamu zangu za dhati muambie tupo pamoja hadi 2030.
Sawa mkuuPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.
Yana TAMATI....Mwigulu ni mwiziiiiiii anayemiliki machine za kubet,anayemiliki bus za esta,anayemiliki singida united
Punguza uchawa, aliyekwambia tozo zinawapata wenye tin peke yao nani??Unalalamika tozo wakati hata tin namba huijui, punguza ulevi mkuu
Kwahyo bila tozo hzo ruzuku wanazopata ufipa zitatoka wapi au wakzipokea wanazirudisha Tena hazina kuu? Nawalivyo walafi wa hela🤣🤣Punguza uchawa, aliyekwambia tozo zinawapata wenye tin peke yao nani??
Hiyo simu unayotumia kupokea miamala ya buku 7 ya mapambio haina makato??
Halafu mwenzio hizo tin ninazo kama tano
Umeona ulivyo na mihemko??Kwahyo bila tozo hzo ruzuku wanazopata ufipa zitatoka wapi au wakzipokea wanazirudisha Tena hazina kuu? Nawalivyo walafi wa hela🤣🤣
Wooow, Leo umekuja jukwaani..welcome. kiti kimekuwa Cha moto huko jikoni...pambanaaPuuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa tumeshawasha 7, 8 & 9 kila mmoja 235MW).
Ameandika kuhusu Yapi, hawa walikuwa na matatizo madogo kama kampuni nayo yanaendelea kutatuliwa, Malipo yameendelea kulipwa kwenye Sekta zote na mengine yapo kwenye hatua za mwisho za malipo. Waongo buana amesahau kwamba ndio tuko wiki ya pili ya mwaka mpya wa Fedha. Puuzeni ni wale wale wenye kututakia mabaya.