sasa haka ka lulu kanajiskiaje?
Hastaili, amefanya nini kwa utukufu wa Tanzania na watanzania ukiacha wanawake ambao ni chaguo lao!
Kudaaadadeki.... RIP Kanumba!Hii inawezekana ni bahati mbaya lakini huyu mtoto ana mambo.Hakuna jambo zuri kutoka kwake!!
Very good, kapotoa wengi hapa Znz wacha afe hana umuhimu wowote hapa Zenji.
Wacha aende akaone alichokichuma huko kwa Allah.
Mungu ametoa funzo kwa vijana waache kujiachia ktk hii dunia na kusahau kifo.
haya mambo yanahitaji kuwa na kifua kipana....
Huyo hapo ningesapoti mazishi ya kitaifawho is kanumba?alikufa remmy ongala .
Ukiwa na kifua kipana kale hukasogelei hata kwa thamani kiasi gani! RIP Kanumba.kufa kwa kanumba si tatizo.. tatizo ni hicho chanzo cha kifo chake........sijui ni kwa nini aliloose temper na akashindwa kujikontroo...hasa akijua kabisa kwamba kale katoto ni pasua kichwa hakana maana kabisa.....alipswa kuwa na kifua kipana