Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

 
Kanumba siyo binadamu wa kawaida Kama wewe mkuu, kanumba alikuwa anaishi maisha mbele ya umri wake. Yesu Kristo aliishi miaka 33 tu. sitaki kuwalinganisha lkn kuna fundisho Fulani. Amina chifupa, Mtoto wa dandu, bruce Lee, wataje wengine waliofanya mengi mbele ya umri wao. Mambo mengine, tuyapime kwa jicho na akili ya kiimani zaidi.
 
what a loss!!
hapa ndo utaona maana ya wimbo "usije mjini"jamaa ujanja wooote na kutengeneza pesa kwa sana ujanani anaenda kupoteza maisha kibwege hivi??
kweli kifo hakina formula,
kamfundisha huyo mtoto usanii na mapenzi na lulu kamzawadia kifo:heh:
 

wel said,binafsi sizan kama Lulu ana miguvu ya kumpush stiv! Kama cku imefika hata ukipigwa na popcorn utakufa tuu! Ukwel utajulikana tu,tusikimbilie kujaj,no1 is perfect!
 





Kama hana roho..
 
Kametulia ka lulu chetu. Sasa kinaenda kuwa chakula ya akina babu Theya Segerea. Watakakamua
 
Hata kama mi ni mgeni lakini naona kama maada hii huku si mahala pake hivi, labda ingekuwa kwenye sport and entertainment!!
 
Kanumba ni msanii mkubwa hivyo lazima taifa lifike wakati kuenzi mazishi ya watu mbalimbali wenye vipaji ata ukiwa mchekeshaji nawe pia ni sehemu ya ukuaji wa taifa letu.....RIP kanumba
 
Lulu is a disgrace!! She need to stay behind bars till the end of this world..mtoto mdogo umalaya utadhani nini!!
 
Msanii Kanumba hastahili state funeral, please!!! Kumbuka tulishawazika wacheza mpira Sembuli, Zimbwe etc na wasanii Mwinamila, Makongoro, Moses Nyunyusa etc hatujawahi kufanya state funeral. Any way, anything can happen.
 
Ni moja Kati ya Vijana wachache wa Kitanzania -- aliyethubutu kuwa na nidhamu katika kujifunza kutoka kwa watu mbali mbali na ubinifu ambao ulileta matunda kwake mwenyewe na kuiinua jamii iliyomzumguka.

Amethubutu kuonyesha inawezekana pata kipato bila UFISADI au uchakachuaji wa VIWANGO vya bidhaa mbalimbali.

Yale ya udhaifu wake Kama mwanadamu kwa sass ni mbele ya haki ..... Kutoa hesabu ya Matendo yake.
 

prof...seriously you dont mean it, do you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…