toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli huoni taabu kupigwa ban, lakini nafikiri ulitaka kuandika kuwa huoni taabu kujilipua kwa bomu ukikutana na watu kama sisi! Imekuuma eeh?Aliyeshangilia ni yeye na sio jamii yake!! Toka kwenye jamii iliyomzunguka yeye, wapo waliohuzunishwa na hicho kifo pengine kuliko wewe...sasa inakuwaje unaanza kuwadhalilisha?! Next time, watch ur fingers movement, usijifanye unajua sana matusi; mie sioni taabu kupigwa ban ninapokutana na watu kama wewe!
Naomba tukatendee haki haka katoto!. Mwenye mamlaka ya kutaja chanzo cha kifo ni daktari, na mwenye mamlaka ya kumtaja mhusika ni jeshi la polisi!.
Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.
Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.
Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.
Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.
After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.
Rip Kanumba.
Pasco
Usihukumu, kwani utahukumiwa.
Toa kwanza Boriti katika jicho lako kabla hujaona kibanzi katika jicho la mwenzako.u
I hope hauna dhambi na kwamba hutakufa na maana anyekufa kapotoa wengi.
And I hope hukifa hutakiona hutakiona ulichochuma kwa Allah!
Vitu vingine mnaandika kama si Wanadamu au kama hamuwezi kufa!
Hako kajinga sana? Kahukumiwe hukumu ya kifo!! Na kwa nini watu wazima dizaini ya Kanumba wanahangaika na huu uchafu??
.
Angekua amekapa hata ujauzito iwe kumbukumbu yake.(joke)
sasa haka katoto kalimzidi vp nguvu???
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk
J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?