Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

...tusikalaumu haka katoto,tusubiri uchunguzi....kwanza marehemu aligombana na kumkashifu baba yake alisha muomba radhi? vitabu vya dini vinasemaje kuhusu wazazi!!!!! anyway mungu amlaze mahali pema peponi
 
je kanasoma shule gani? kanaishi na wazazi wapi? wazazi nao wahojiwe kwa kumharibu mtoto

kamemaliza kidato cha nne jina kamili anaitwa ELIZABETH MICHAEL.huwa nasikia sana kuhusu mama yake lakini ...
 
Kweli inauma ila wakumbushe watu unaowapenda kuwa vicheche daima havinaga shida kukupunguza coz kwenye foleni wapo wengine wanasubiriwaingie na ukipenda kicheche usiwe na wivu coz ni vyawote
 
Wazazi wa huyu lulu walikuwa wamepa uhuru mkubwa sana na hayo ndo matunda yake
 
Mcheki Lulu 'ze kila' ndani ya EATV wanarudia interview yake na Salama.
 
Kama ni kweli Knumba alichemka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na hako katoto!
 
hapana ana miaka kumi na tisa huyo mtoto ambaye kwa namna moja au nyingine akionekana amehusika katika mauaji ya huyu mpendwa wetu,basi hii ni pure manslaughter ambayo ni murder case yenye kivuli cha mkono wa sheria.

RIP KANUMBA THE GREAT.

Manslaughter haiwezi kuwa murder case.
Hata hivyo report ya daktari ndiyo inayoweza kumuokoa huyu binti ikiwa itathibitika kuwa kanumba alikuwa na tatizo lingne kama vile alipandwa presha coz ya hasira.
 
Huyu lulu anaenda kuwa chakula ya maaskari magereza..kwisha habari yake.
 
polic inabidi wakilinde hicho kilulu cjui,
kicje kikajiua kwa kuogopa nguvu zadola.
 
Kametulia ka lulu chetu. Sasa kinaenda kuwa chakula ya akina babu Theya Segerea. Watakakamua

fikiria ni ndugu yako au mtoto wako au wa ndugu yako au hata dada yako au mdogo wako afu hebu fikiria kwa vile unaandika kweli akili yako inafurahia kwa vile unapost mtoto wa mwenzio anaenda kuwa chakula cha wengine kwel inakukaa akilin kisawasawa...hebu tuwe na fikra za wafikiriaji pevu.
 
yatasemwa mengi ila ukweli anao lulu mwenyewe,pengine ht alimlisha sumu kwsbb how comes atoke povu.Kwasasa nadhan tunajaribu kuguess to ht hao askari sidhan km watakuja na report ya ukweli hasa km kifo kina mkono wa mtu,so my dias tusubiri ad siku ambayo huyo mtoto atakapofunguka,na nina iman tutaujua tu ukweli ht km ni baada ya miaka 20,mbona khs mwl Nyerere tumejua why not kwa kanumba!
 
.
NI KWELI WACJE ZAA LAANA KAMA HII WAKAAIBIKA MBELE YA JAMII KAMA ILIVYO KWA WAZAZI WA HUYU “lulu”!
 
Mara nyingi binadamu huwa tunachagua vifo vyetu!!

wazinzi lazima tutakufa,kwa AIDS, Cerebrovascular accident,kuchomwa visu, kufia juu ya kifua, Hepatitis nk. Tubadilike uzinzi siyo sifa. Zingatia tiba kama umeathirika kusambazia wenzio sio ndo umwamba utakuja fia gesti house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…