mnazi kipemba
Member
- Apr 2, 2012
- 48
- 10
...tusikalaumu haka katoto,tusubiri uchunguzi....kwanza marehemu aligombana na kumkashifu baba yake alisha muomba radhi? vitabu vya dini vinasemaje kuhusu wazazi!!!!! anyway mungu amlaze mahali pema peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We are masters of our own fates...by the choices we make!
je kanasoma shule gani? kanaishi na wazazi wapi? wazazi nao wahojiwe kwa kumharibu mtoto
Kweli inauma ila wakumbushe watu unaowapenda kuwa vicheche daima havinaga shida kukupunguza coz kwenye foleni wapo wengine wanasubiriwaingie na ukipenda kicheche usiwe na wivu coz ni vyawoteKuna baadhi ya Viumbe hai humu Jf,.nawasiwasi na uhai wa roho zao! Yan hawako seriouz ktk suala la Kifo! Unakuta mtu anakurupuka tu,hata mdomo hajasuuza,anaongea analoweza! Mjitahidi kidogo kuficha makucha roho zenu mbaya,if u cant be seriouz jus 4a second,u better stay away from seriouz issuez! Utani wa ajabu ktk suala kama hili..
Binafsi naona c uungwana,kuropoka ovyo,ka mwehu wakat wa tatizo hasa kifo.Kama huna point Pita tuu,haupungukiwi na kitu,instead of kuchangia kama mpungufu wa akili..ukumbuke pia no one atakaebaki wa mbegu humu dunian!wote tutakufa!
R.i.p Kanumba,God loves u more!
Najaribu kutafakari bado Lulu ana ubavu gani wa kumsukuma Kanumba,nakosa kuelewa na kupata picha!
hapana ana miaka kumi na tisa huyo mtoto ambaye kwa namna moja au nyingine akionekana amehusika katika mauaji ya huyu mpendwa wetu,basi hii ni pure manslaughter ambayo ni murder case yenye kivuli cha mkono wa sheria.
RIP KANUMBA THE GREAT.
Kametulia ka lulu chetu. Sasa kinaenda kuwa chakula ya akina babu Theya Segerea. Watakakamua
.kana miaka 16,marehemu alivunja sheria kuishi na mtoto kinyumba bila ridhaa ya wazazi
kanadai kati ya wanaume 14 kalikotembea nao ni wawili tu walimfikisha
kakivaa nguo ndefu eti kanawashwa,mwaka huu ndo kalitakiwa kawe kidato cha 4
(wajawazito temeeni mate mbali)
Mara nyingi binadamu huwa tunachagua vifo vyetu!!