Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Baba yake alimfanya nn tena? Alimuahidia atakufa kwa kugombania mapenzi?
 
mbona mimi cjaona tatizo. na wala hakuanza kusema tu kua nina lexux ila alichosema kanumba alikua na wivu wa maendeleo na walipatana hadi wakawa wanafanya vitu vya kufanana kama kununua magari etc kaka
 
if he"s gone is gone, we cant turn him alive so leta hoja za siasa tufarai kidogo.
 
R.I.P kanumba. Tafadhali Mod peleka hii issue kule kunakohusika hapa ni siasa kwa kwenda mbele.
 
Idadi ya wanawake hapo msibani inaelekea ku-out number wanaume au camera yako ililenga wanawake?
 
na ugeni wangu,nilitegemea topic ingeisha kwa jibu moja tu.hastahili. Kwamba jeneza la SK lifunikwe kwa bendera yetu ya taifa? Kwa lipi? Ni watoto wangapi wa kizazi kipya amechangia kuwaharibu na kuozesha akili zao? Ni kwa kiasi gani amechangia mmomonyoko wa maadili mpaka sebule hazikaliki? Nawapa pole FAMILIA yake,na hasa mama yake mzazi,lakn tusiongele state funeral!
 
Kinatufundisha kuwa tuwe wa kweli kwani kanumba alipohojiwa alisema kuwa hana mpenzi, pia lulu naye alisema hivyo hivyo sasa lulu atawaeleza nini watanzani leo hii.
 
uwiiiiii roho yangu inaniuma sana jamani.
Kanumba i loved you.Mungu akupumzishe kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…