spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
GreatThinkers,
Nimewataja ndg zetu waliotangulia mbele ya haki kwa sababu vifo vyao vina somo kwa walio hai!!!!
Mtoto wa Dandu alipata ajali ila wote tunajua bifu lililokuwe enzi zile hadi msanii mwingine toka TMK akatoa single eti hataki demu. Wimbo ule unaeleza kuwa yule dada alipigwa dend hadi gari ikagoma kwenda......Lakini tulimpoteza Dandu.
Kwa vijana wa leo; For your informations Dandu ndiye aliyeanzisha hizi tuzo za wasanii Tanzania leo hii zinatanba kama KiliAward. Mtu muhimu aliondoka kama masihara!!!
Complex vivo hivo, akiwa njiani usiku wa manae na mtangazaji Viviani huku akidrive kwenda Arusha vile vile gari ikagoma kwenda,Mwendo kasi? Nichumu? ila nao tukawapoteza. Alikuwa kundi maarufu la East Coast ambalo mwanzo wake lilionekana wazi kuwa lisingedumu, Ubishoo na Usharobaro ulikuwa juu sana. Tunashukuru baada ya kuvunjika kumbe kulikuwa na watu wazuri ndani yake RESPECT. AY na FA mnatoa mfano mzuri sana ni namna gani msanii anatakiwa kuishi na jamii. Wengine pesa kidogo majivuno mia.
Stive2k alikufa kwa kuchomwa kisu kisa Demu tena na mwanamziki mwenzake, wimbo alioshirikishwa na Akili the Brain uitwao Regina hadi leo unafanya vizuri ila mhusika mmojawapo hatunae tena. Je hapa hakuna la kujifunza?
John Mjema aliimba wimbo wa Wachumba 30 uliwika sana, mimi siyo mwizi nao ni wimbo uliomtoa vizuri,John alijinyonga kisa maisha magumu lakini nyuma ya pazia kuna utata ila nae somo lipo la kujifunza.
Sasa hii ya leo Steven Kanumba taarifa imekuja kwa ile ile staili ambayo wasanii wengi wametutoka, LULU naye anatajwa!
Sasa dah!!!!!
From here tufanyaje?
1. Unashauri ni maisha gani wasanii wetu waishi?
2.Je kuna ulazima kula stears hata kama sakio halitoshi? kwa nini tusiishi kama 20%
3.Wasanii wanapandishwa ndege kwenda ktk show mbali mbali, je maisha hayo atifisho ni lazima waendelee nayo nje ya kazi yao?
4.Wasanii wangapi hawataki kuoa/kuolewa?
Je unafahamu ukioa/olewa na bahati ukawa na watoto unakuwa DIRECT responsibility ambayo itakufanya baadhi ya mambo uyaache na uanze kutoa kipaumbele ya yalio ya msingi. Sasa hivi pesa zinapatikana lakini hazina cha kufanya zaidi ya matanuzi?
Kanda ya ziwa imetuuma sana sana, tumesikitika sana kwa Kanumba kufariki ila tunaomba mliobaki na mnaokuja please.
Pole sana kwa ndg,marafiki na majirani hapo Sinza Vatican:rip::rip: