RIP Kanumba baba.
Hakika Bollywood imepoteza mtu muhimu. Kazi ya Mungu haina makosa.
Biblia inasema hivi katika KUTOKA 20:12; ''WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO ILI SIKU ZAKO ZA UHAI ZIWE NYINGI HAPA DUNIANI''
Kanumba nilimsikia kwenye runinga siku ile alipokieleza kuhusu masaibu yaliyompata wakti akiwa kijana mdogo kuwa mama yake wa kambo,mke mdogo wa baba yake alimtesa sana hata ikampelekea kumchukia Baba yake mzazi maana hakuwa akimjali Kanumba kabisa. Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo. Ieleweke kuwa MZAZI NI MZAZI TU whether akiwa mkorofi,mkali,kichaa,mchawi/kigagula,jambazi n.k. Unachotakiwa wewe kama mtoto ni RESPECT. God shall take care of the rest!!! Lakini ukianza kuchonga kuhusu Mzazi awe Baba au Mama,utakuwa unapingana na Mungu mwenyewe na hapo ujue kwamba UMEKWISHA!!!
Watu wajifunze.