Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Vijana wanastahili kujifunza yakwamba umalaya,uhuni haunanafasi mda ukifika kama umeshindwa kujilinda nibora kuoa au kuolewa,kuliko kufa kifo cha kashifa kama kijana kanumba RIP.
 
RIP Kanumba. Bila ya kuangalia mazingira ya kifo I feel very sorry for his family, working collegues and fans. Nimejikuta machozi yakinitoka automatic, last time kutokwa na machozi bila kujijua ilikuwa mwaka 1999 wakati Mwl Nyerere alipofariki. Anyway tuomboleze na kulia na kujifunza toka kwa Steven. Pia nimpe pole Elizabeth Michael (LULU) ninajua anajisikia dunia ikimuangukia ila liwe funzo kwa sisi tuliobaki kuwa Domestic disputes sometimes may lead into a tragedy, tujifunze kuzuia hasira zetu.
 
Nimeanza kufuatilia tangu asubuhi habari za msiba wa msanii huyu kipenzi cha wengi, nimegundua kwamba ni msanii aliyekuwa anajulikana na kupendwa sana na watu kuliko wote, je ni kweli Kanumba alikuwa ndiye msanii anayejulikana na kupendwa zaidi au ni sifa za marehemu tu? Na kama jibu ni hapana unahisi ni msanii gani ambaye ni maarufu kumzidi kanumba?
 
RIP Kanumba baba.

Hakika Bollywood imepoteza mtu muhimu. Kazi ya Mungu haina makosa.
Biblia inasema hivi katika KUTOKA 20:12; ''WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO ILI SIKU ZAKO ZA UHAI ZIWE NYINGI HAPA DUNIANI''

Kanumba nilimsikia kwenye runinga siku ile alipokieleza kuhusu masaibu yaliyompata wakti akiwa kijana mdogo kuwa mama yake wa kambo,mke mdogo wa baba yake alimtesa sana hata ikampelekea kumchukia Baba yake mzazi maana hakuwa akimjali Kanumba kabisa. Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo. Ieleweke kuwa MZAZI NI MZAZI TU whether akiwa mkorofi,mkali,kichaa,mchawi/kigagula,jambazi n.k. Unachotakiwa wewe kama mtoto ni RESPECT. God shall take care of the rest!!! Lakini ukianza kuchonga kuhusu Mzazi awe Baba au Mama,utakuwa unapingana na Mungu mwenyewe na hapo ujue kwamba UMEKWISHA!!!

Watu wajifunze.

Upo Sahihi kabisa,tena aliambiwa aombe msamaha lakini akakataa.
 
Nawaonea huruma wazazi wa huyu binti lulu, mungu atuepushe kupata watoto kama hawa. Heri mtoto wako asiwe na kipaji chochote kuliko kupata mtihani kama huu.... :disapointed::disapointed::disapointed:
 
R.I.P Kanumba,may lord forgive ur sins n rest u into eternal life
 
jamani kipindi hiki ni kigumu.pls tujalibu kuelezea hali nzima ya msiba kama ilivyo.family affairs does not needed right here.
 
??????????????????????????????????

images

huyu ndie muaaji hahaha
 
naona LuLu ndio amekamata mazungumzo ya nchi hii kwa sasa..watu washaanza kusahau lema kuvuliwa ubunge!
 
Back
Top Bottom