Mbona huulizi TLP, CHAUSTA, NCCR-mageuzi, CUF, NRA, SAU...............wameupokeaje msiba huo? Na ukijua utafanya nini?
Ivi hili ni jukwaa la nin vile..mods mpo wap
acha jazba kaka, ninyi wana filamu za bongo hakika mnapaswa kujifunza mengi hapo
Ndio nani huyo jamani?
We Gamba hujamsikia Mnyika alifika huko toka mapema toka asb akiwa mbunge wake!!
Speaking of the dead............Sitaki hata kumsikia coz katuharibia sana maadili ya kiafrica kupitia movies zake. Go to hell kanumba.
Huyo naye alistahili state burial.TX moshi willam
khaa! Vp wewe je,una mabawa nini mkuu..maana c kila mwenye wings ni angel,wengine popobawa!
No one is perfect!
Mwanaume unazimia msibani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hii kweli ni ajabu
Mwanaume lazima uwe strong until your death
Haaaa, stop being judgemental.
Unaposema mnafiki sema na sababu zinazokufanya useme hivyo....its not fair to the dead!!
aaah ! Yale yale ya Serengeti boys ! Alipokuwa kaole trup alikuwa na umri gani ? (almos 12yrs back) pana ukweli hapa !?