Jamani, haka katoto ni kazuri lakini jamani!!. Kweli unaweza kata roho!!/ RIP kanumba. Hawa wanawake wazuri hawa, mungu tuepushe nao!!. Mwisho wake siku zote ni 1. Kifo 2. Ugonjwa wa Moyo 3. Mafarakano na ndugu 4. Kugombana na marafiki na mabo kama hayo
Hiyo sijaiona! Maelezo kidogo basi na picha Kama unazo
Binafsi sikuwa na habari ya mtafaruku huo, isipokuwa siungi mkono kitendo cha kumsimanga mzazi wako kwa kosa lililotendeka ukiwa mdogo. Kumbuka hadithi utakayokuwa umeipata itakuwa ya upande mmoja (mama), huwezi kujua ni tatizo gani lilisababisha asamehe mama na mtoto. Narudia tena si busara vijana kuwahukumu wazazi wenu na ni salama zaidi kumwachia Mungu.ni kweli kabisa kwani siku zilizopita kulikuwa na mabishano makali kati yake na baba yake,kanumba alimlaumu baba kwa kumtelekeza sasa anajisifia kuwa ana mtoto msanii mkali.baba alihuzunika sana.kwa hiyo vijana hata kama wazazi walikutesa ni muhimu kuwasamehe kuliko kukumbuka machungu na kulaumu.
Sheria iko ivi ukifa kwa jeraha lililosababishwa na mtu yeyote ndani ya siku 30,mtu huyo atakuwa ndiye aliye sababisha kifo chako au muuaji,sasa kanumba hajachukua hata siku moja nani muuaji? obvious ni Lulu go straight.tusi-conclude kirahisi hivyo kua kauwawa na mpenzi wake.Angefia hospitalini nafkiri mgesema uzembe wa madaktari ndio uliosababisha kifo. Tusiwe wepesi kuwajaza watu taarifa za uongo. wote hatujui exactly kilichotokea,ngoja wataalam(polisi na madaktari) watuambie baada ya uchunguzi.
Unataka kutuambia Kifo chake kimesababishwa na mzazi wake. Lulu naye alipenda kifo kitokee? Kuwa makini na post yako mku, hujafa hujaumbika.Dunia ni pana kuliko unavyochukulia
Unataka kutuambia Kifo chake kimesababishwa na mzazi wake. Lulu naye alipenda kifo kitokee? Kuwa makini na post yako mku, hujafa hujaumbika.Dunia ni pana kuliko unavyochukulia
RIP Kanumba baba.
Hakika Bollywood imepoteza mtu muhimu. Kazi ya Mungu haina makosa.
Biblia inasema hivi katika KUTOKA 20:12; ''WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO ILI SIKU ZAKO ZA UHAI ZIWE NYINGI HAPA DUNIANI''
Kanumba nilimsikia kwenye runinga siku ile alipokieleza kuhusu masaibu yaliyompata wakti akiwa kijana mdogo kuwa mama yake wa kambo,mke mdogo wa baba yake alimtesa sana hata ikampelekea kumchukia Baba yake mzazi maana hakuwa akimjali Kanumba kabisa. Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo. Ieleweke kuwa MZAZI NI MZAZI TU whether akiwa mkorofi,mkali,kichaa,mchawi/kigagula,jambazi n.k. Unachotakiwa wewe kama mtoto ni RESPECT. God shall take care of the rest!!! Lakini ukianza kuchonga kuhusu Mzazi awe Baba au Mama,utakuwa unapingana na Mungu mwenyewe na hapo ujue kwamba UMEKWISHA!!!
Watu wajifunze.