Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

..RIP kanumba....haya maisha haya bac tu!...namfikiria mama yake......Mungu ampe nguvu jamani.
 
back door huyu jamaa yuko freemason na alitakiwa kutoa sadaka since then na walimtaka mama yake akajifanya mjanja tokea june last year sasa wameamua kumchukua so is like that

mhhh??ushahidi?
 
toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utakapoona kibanzi kwenye jicho la mwenzako......

Je wewe umetimiza wajibu wako?
Je unatimiza wajibu wako
je una uhakika kadri unavyoishi unatimiza wajibu wako?
 
Hakuna uchungu mbaya kama wa mzazi kuona mwanae amefariki.r.i.p steven kanumba.
Halafu kifo chenyewe kama hiki, si ajabu jana tu kapiga naye story, halafu baadaye anaambiwa amekufa. Bora uuguze aisee. Maana kwenye kuuguza huwa inafika wakati unamwomba Mungu ampumzishe lakini hii ya ghafla, sijui kama machozi yake huwa yanaisha.
 
Kulikua na kaschana by the name Jenifa, halaf the late SK alitumia hilo jina la anko jj, samahan jina la movie limentoka

Inaitwa THIS IS IT! halafu subiri uone watu watakavyoutumia huu msiba kibiashara. si mnakumbuka Michael Jackson.
 
Hivi huyu Kanumba alikuwa na Copyrights za kazi zake? Wajuzi wa mambo?
 
Wasahili tunasema rafiki yako wa dhati utamjuwa wakati wa shida, hivyo ITV tusiwazonge kihivyo cha msingi kifo cha Steven Kanumba tumekwisha sikia na hakuna asiye jua Kanumba kisha kufa.
 
..sisi wa-Tanzania kila siku tunataka kujifunza tu.

..lini tutaanza kuthubutu na kutenda??
 
Mama pole sana, nakumbuka ulivyo msihi aoe akasema bado wala hata mpenzi hana, leo unaskia alikuwa na mpenzi anaitwa lulu najua itakuuma sana kwa kanumba kukuficha hili. Na ukweli kama angekwambia lulu ndo mpenzi wake nahisi kwa busara zako ungemwambia hamfai. RIP
 
Mahojiano na mama mzazi wa Kanumba

Mama huyu anatia huruma! Poleni sana wafiwa na wote mlioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…