Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

hii yote ni uhuni na uzinzi na uasherati wa wasanii wa move za Kibongo, Angalia kanumba na hako kanuka mzigo kadogo ka nn, kana utamu gani
 
Godlv are you Serious hukuwa unamfahamu Kanumba? Ulikuwa jela kweli?
 
When we talk Grea,t no man on earth can deserve these word only GOD is Great
 
Acha ujinga wewe!Nawewe unasubiri ujengewe nawanao?Kanumba alikuwa anaishi kwenye nyumba yake au kapanga mpaka amjengee baba yk?Watu wengine vilaza kweli!Wakishajua kuposti,wanapositi mpaka uchafu!Mbafu!
 
usi compare wasomi na hao wasanii, waliojaaa pale kwa Kanumba wengi ni Mateja na wasio kuwa na kazi maana undugu na ukaribu wa kanumba wa kwenye filamu TV image ni upungufu kichwani. Uhuni wake ndo umemmaliza
 
Umenena...uzito wa msiba anaufeel mfiwa
 
Hahahaaaaaaaa kuna post mtu ukisoma unaishia kucheka mpaka unapata maumivu ya mbavu daahhhh hapana aisee....JF oyeee.

Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa waanzilishi wa JF maana inanipa faraja sana.
 
Pole Godlv! Ni kweli sio kila mtu alikuwa anamfahamu kanumba.Wengi wameufananisha msiba wake kama wa Michael Jackson.nadhani ulikuwa unamfahamu huyo
 
Usiku wa kuamkia Ijumaa (Jana) niliota ndoto ya ajabu. Kwamba nilikuwa katika mji fulani mkubwa, lakini ghafla mawinguni upande wa magharibi nilikiona kikundi cha wasanii, walikuwa kama wa tano hivi. Wote wakiwa ndani ya suti nyeusi na mashati meupe na bulls' tie. Nilivyo waona ilikuwa kama vile "projector" ilikuwa mahali na kutumia mawindu kuwa kama 'screen'. Picha za wale wasanii zilikuwa ni aina ya pasipoti ila zilikuwa kubwa sana na nilimfahamu kiongozi wa kikundi kile aliyekuwa mbele na ukubwa wake wa pale mbele aliwaziba wengine wa nyuma. Huyu mtu alikuwa ni Steve. Basi sikujali.Lakini nikaenda mji mwingine mdogo, kule tena ile picha ikaibuka. Safari hii wale wasanii wakaimba sana mziki wakifurahi (ilikuwa kama move hivi). walipomaliza ile picha ikatoweka, na mimi nikasema vijana hawa wameanza usanii hivi karibuni lakini wamestawi sana.

Saa hivi wakati naangalia historia ya marehemu TBC, ile ndoto niliyokwisha isahau ika-flash kwenye kioo cha dirisha. Ndipo nimekumbuka ndoto hii nakuiweka hapa.
 
Pumzika kwa Amani Nguli Steven Kanumba. Bendera yangu nusu mlingoti siku saba 7.
 
haijapita hata miezi mi3 toka hii kitu iwe publised kwenye vyombo vya habari, ukiitafuta post inayohusu hilo swala utaipata humu jf, inshort alianza baba yake kanumba kumlaumu kanumba kwa kumpendelea mama yake, then kanumba akajibu acusation alizota babayake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…