Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Mungu baba mwenye rehema awapumzishe wote kwa amani. Haijalisha misiba yao imeudhuriwa na watu wangapi iwe kumi au hamsini,au watu wa rank gani jamani hivi ni kweli binadamu tunakaa kuanza kucompare marehemu gani kafunika kwenye msiba wake???yani as if Kanumba yuko hai eti amefunika!!!! Kila mtu anaguswa na msiba tofauti na mwingine.

Hebu acheni roho za marehemu zipumzike kwa amani. Wasikae kwenye midomo ya watu kwa kuongelewa vibaya, na sie tuko njiani safari yetu inakuja.
 
Sentensi za mdogo wa Kanumba zinaashiria kilichotokea

Source TBC
 
Me mbona hata rais wa hii nchi ya tanzania simjui?
 
Mkuu wewe ni kama mimi nilikuwa simjui
nikauliza badala nijibiwe nikaulizwa raia wa wap?ila nimeona picha zake angalau..ni msanii wa maigizo kama sijakosea.

uko sawa. maigizo yake hayatazamwi na watu wenye akili zao.
ila binafsi nimehuzunika kwa kifo ambacho hakika kingezuilika
 
Kama baba yake hakujijengea imekula kwake.
Afu ukute hata hakuwa responsible father.
 

wewesi ndiyo ulituma thread mchana wa kumpongeza lulu kwa kumuua kanumba. Sasa unakuja tena na ndoto? Kila la kheri na ndoto zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…