Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead


So! How does a spiritual body look like sir? Beware of repeating jargons like that! That is all I can say.
 
This seems just initial information from the suspected person.
Ok, investigation alwayz start from the source, go ahed Kenyela.
Anyway the point remains that Kanumba the Great has gone!
R.I.P. Kanumba
 
offcourse kama kanywa mkonyaji mwingi unafikiri itamfanyaje..anazima sokomoko sembuse kanumba aliyeanza kunywa baada ya kutoka
 
Ni lini polisi walifika eneo la tukio wakachunguza? Siku nzima watu wamekuwa wanamiminika nyumbani kwa marehemu, vielelezo vyote vya ushahidi vimeshapotea, watu wanatembea, wanashika kila kitu. Polisi watafanye uchunguzi vipi wakati eneo liko contaminated?

Week chache afande Chagonja kabla ya kwenda Songea kuchunguza vurugu alitoa 'conclusion' ya report, sasa hata kwenye kifo cha Steven Kanumba wanaonekana kufanya mambo kama tuko zama za ujima.

Na ujue hao polisi ni magumashi waulize wamejuaje kuwa marehemu alikunywa Jackie Daniel? Uchunguzi unaweza kuona alcohol lakini sio BRAND ya kinywani. Masimulizi tu haya!
 
Pole mama, poleni ndugu na marafiki, poleni wadau wa film tz. Ndiyo njia ya sisi sote! Rafiki tunakupenda, tutakukumbuka daima milele. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen!
 

Katafikishwaje wakati kameanza mapenzi hata kabla ya kuvunja ungo? kamekuja kuvunja ungo Dozzer zilikwisha tengeneza barabara pana siku nyingi!

Tufafanulie kakivaa nguo ndefu kanawashwa sehemu gani ya mwili?
 
Huzuni tele,kama kalala tu kumbe hatunae tena.
 
Poleni sana wana Familia pamoja na wadau wote wa filamu. Kweli inauma lakini hatuna jinsi Jina la Mungu libarikiwe.
 
Jamani tusibadilishe jukwaa hili kuwa ya umbea, maisha ya mtu na wazazi wake wanayajua wenyewe. Kuwanyooshea wenzako vidole uko mstari wa mbele lakini inawezekana kabisa hakuna siku umefikiria kumnunulia baba yako hata shati sembuse kumjengea nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…