Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Kifo chake inasemekana alikuwa bafuni anaoga kujiandaa kutoka out na mpenz wake.. Aliporudi chumban akakuta mpenz wake anaongea na simu na mwanaume mwingine.. Hapo ndio ukatokea ugomvi ulimsababisha kusukumwa na kuangukia kisogo na hapo ndipo akapoteza uhai wake... Inasikitisha sana... Mapenz noma.....
 
Pigo takatifu limeikumba tanzia ya filamu tz kwa kuondokewa na muuigizaji nguli Stevin Kanumba. KANUMBA amefariki usiku wa saa 6 kuamkia leo. Source redio cloud fm.
 
Kama ilivyo reportiwa na clouds fm,kanumba alikua anajiaanda kutoka na mpenzi wake aliye julikana kwa jina la Lulu, wakati kanumba anatoka bafuni kuoga, akasikia mpenzi wake anaongea na mwanaume mwingine kwenye simu, ukatokea ugomvi uliyo pelekea kanumba kusukumwa na kuangukia kisogo na kupoteza fahamu. Alikimbizwa muhimbili na kama ilivyo kila nafsi itaonja mauti Kanumba akafariki dunia. RIP Kanumba
 
Kama chanzo ni LULU...wasimpe gape huyo mtoto...kata jiua sasa hivi.
 
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.

Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga kichwa na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.

Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie

RIP
Hii inawezekana ni bahati mbaya lakini huyu mtoto ana mambo.Hakuna jambo zuri kutoka kwake!!
 
OMG, Kanumba kafariki Duniakama lisaa limoja lililopita…
ni kifo cha Ghafla tu, alikuwa nyumbani kwake na LULU wakati kifo kinamkuta....
Pigo kubwa sana kwa Bongo movies….
IM STILL IN SHOCK…
KUNA NEWS HUWA NAFURAHIGI KUWA WA KWANZA KUREPORT BUT HII YALEO I STILL WISH NINGEKUWA SIJAAMBIWA kama naota vile...
Rest in peace Kanumba…GONETOO SOON…....

mbona umecopy toka u-turn maana nimeona mahala mtu kacopy na kurefer huko?

saa nzima imeshapita zamaniiiiiiii
 
Toa maelezo ya kutosha plz. Kasukumwa vipi? R.I.P KANUMBA

sasa unauliza kasukumwa vipi sie ndo tulikuwepo nae chumbani?

maswali meingine uwe unafikiri na kusuburi habari zaidi zikisemwa na wenyewe.
 
Wakristo good friday si hamruhusiwi kula "nyama"
 
Acha utani ina maana maisha yako Kanumba haumfahamu? Inaonekana hata Rais haumjui!

ndiyo yule aliekuwa anamponda Baba yake mzazi kwenye vyombo vya habari? Kama ndiye basi ni laana ya kuwaponda wazazi. Maandiko yanatutaka kuwaheshimu Baba na Mama ili tupate kuishi miaka mingi na tupate heri duniani. Mara nyingi tukiwa na mafanikio huwa hatukumbuki kuna michango ya wazazi. Hata kama angekuwa anakuchapa kila kukicha but kakuleta duniani. Kama ndiye, Mungu amrehem jamani. Na sisi wengine tujifunze na tusilewe tukatukana wazazi.
 
Hii habari imenisikitisha sana, lakini kazi ya mungu haina makosa. Bwana ametoa na bwana ametwaa,jina la bwana litukuzwe. Rest In Peace Steven Kanumba.
 
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika. Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga kichwa na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia. Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie RIP
mapenzi jamani!.. acha nifanye nioe mapema ... nitulie...! ... R.I.P ... Gone toooo soon!!! bado ni kijana mdogo
 
Kwa mujibu wa clouds kifo chake kinasemekana kimetokana na ugonvi wa kimapenzi, yani wakati anataka kutoka mida ya saa sita usiku alimsikia mpenzi wake aliye fahamika kwa jina la Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu.jambo ambalo lilisababisha ugomvi mpaka kupelekea Kanumba Kuangukia kisogo na kukimbizwa muhimbilu alipokutwa kafariki dunia.RIP Kanumba
 
Back
Top Bottom