Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

dah nimeumia sana
poleni wote
RIP bro Kaanumba-Mungu amekupenda zaidi
 
Nimeona habari alikuwa na lulu, ni lulu yupi huyo? Au ndo huyuhuyu asiyeishiwa skendo? Kama ni yeye basi mapenzi yame mkost
 
sure kaka ckuhizi ni kiwanda cha kuuza sura, kisha wanasahau kuwa Kuna Mungu bahati mbaya wote tutakufa na Mungu ategemei wanadamu wanasema nani awekwe wapi bali anahukumu kwa haki so fanya mema Mungu atakutunuku siwezi kumbwelambewela mwisho utegemee watu waseme RIP coz God haangalii wangapi wanasema like . Najua hatupendi kuelezwa ukweli but huo ndio ukweli

Upo sahii, lakini kwa hayo maelezo yako kwenye hii thread sio pahala pake....nawe kubali kuambiwa ukweli!
 
Aiseeee pole sana sikonge.....huyu bwana alikuwa mfano kwa vijana......

......na hii kitu lulu jamani.....nimekumbuka ile kesi ya asha mkwizu.....

......sasa JK anaomba huu msiba ungekuwa USA angepata safari......
 
Tusimpangie Mungu cha kufanya the guy never involved God in any way,after death judgement hes tomenting and cursing in the abbys now.Tusikitike hilo
 
sure kaka ckuhizi ni kiwanda cha kuuza sura, kisha wanasahau kuwa Kuna Mungu bahati mbaya wote tutakufa na Mungu ategemei wanadamu wanasema nani awekwe wapi bali anahukumu kwa haki so fanya mema Mungu atakutunuku siwezi kumbwelambewela mwisho utegemee watu waseme RIP coz God haangalii wangapi wanasema like . Najua hatupendi kuelezwa ukweli but huo ndio ukweli

wasanii wetu maisha ya kawaida hupenda kuish kwa kuigiza
 
Back
Top Bottom