Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Hata kifo cha Samson kilitokana na mwanamke Delila...we need to be care with these chicks anyway!! RIP THE GREATEST KANUMBA
 
inaonekana kbs una chuki binafsi,bendera fuata upepo na kanjanja,
usilete malumbano ya iman hapa saiz,kama osama,alshabaab na boko haram wanaua kwa kutumia kigezo cha dini ni wao na mitizamo yao,dini yetu sisi inahubiri aman na kila mwerevu hapa hao mapadri wenu wanajua,
sasa baadh ya viongoz wenu ambao wanashutumiwa kwa ushoga na wapo,ambao wanalawito vitoto pia wapo na kufanya machafu na watawa wa kike,unataka tuwahukumu wote kwnye mfumo huo ni waovu??
Kam kanumba ameishi maisha yake kwa kumchukiza mungu na kufia kwenye mambo ya kumchukiza mungu maombi yako yatasaidia nin??
Kila mtu atalipwa kwa matendo yake aliyofanya,we kaa ukizubaa dhambini kwa matumain kua kuna mtu kafa kwa ajili ya dhambi zako,thubutuuuu utasaga meno nduguuu...
 
IQ ya huyu bwana ni ndogo sana. Kanumba kafariki sijui atadesa wapi.
 
Hehehee,,! Guys pengine he ws js tryn 2 show hw they were frnds. Hata ww ukiwa na rafiki yako, kila unachofanya na yeye anafanya unakuwa unapata ile sense ya strng friendship. Kanunua Lexus na kanumba na yeye kanunua, kwa jinsi alivompebda friend wake, amenunua kiwanja na kanumba na yeye kanunua jirani yake, Walipendana sana na wakataka kila kitu wawe pamoja!
Lakini inawezakuwa other around. Labda alikua anaonesha jinsi Kanumba alivo jelous or may be alivo yeye
 
ni tetesi au?? hapa tuna discuss mambo ya chadema na ccm tu...
 
Isingekuwa ni huu msiba wa Stephen Kanumba pengine nisingejua kiwango cha akili cha hawa wanaojiita ma 'star' wa Tanzania.

Leo asubuhi Clouds Tv walikuwa wanarusha live kipindi maalum cha mahojiano na watu waliokuwa wanamfahamu vizuri Kanumba.

Cha Ajabu Ray sijui ndiye Vincent Kigosi yeye kashikilia tu ubishoo tena wa kitoto uliogubikwa ushamba.

Wenzake wanaomboleza na kusikitika yeye kashupalia: " .... unajua niliponununua ile Lexus yangu, na Kanumba pia akanunua. Na baadae nikanunua Gari dogo naye akanunua, hivi sasa nina kiwanja Mbezi na utashangaa hata Kanumba alinunua pale jirani yangu kabisa ......................!"

Bongo Movie indeed

Ni uelewa wako mdogo ndo umekufanya upost mawazo yako hafifu, hakuna ubaya wowote kwenye Kauli yake, Tafakari kabla haujapost mawazo yako ndugu...
 
Katoto kadogo kanameza mizigo mikubwa.... Loh!!
 
lulu_2.jpg


huyo hapo lulu,ajali kazini hiyo duh

Jamani, haka katoto ni kazuri lakini jamani!!. Kweli unaweza kata roho!!/ RIP kanumba. Hawa wanawake wazuri hawa, mungu tuepushe nao!!. Mwisho wake siku zote ni 1. Kifo 2. Ugonjwa wa Moyo 3. Mafarakano na ndugu 4. Kugombana na marafiki na mabo kama hayo
 
Ivi hili ni jukwaa la nin vile..mods mpo wap
 
Back
Top Bottom