zaleo
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,902
- 765
Jamani tuwe na huruma. Naona ajabu watu wanamlaumu marehemukwa uhuni na kuwa msela bila sababu. Mie naona heri yake ambaye hajaacha vitotovisivyotambulika kama wanaotetea ujinga wa baba yake ambaye alimtelekeza lakinialipoona amefanikiwa anakuja kuvuna asipopanda. Hili ndilo tatizo la watanzaniawengi. Wanapenda kulaumu mlipodondokeabadala ya kulaumu mlipojikwaa. Hivi unapomkana mwanao halafu akikukana si ndiyohaki? Ulimkana akiwa hajijui sasa anajijua sioni ubaya akikulipa hivyo hivyo.Uzazi si kutungisha mimba bali kulea jamani wote tuna watoto tunajua uchungu wamwana. Mzazi asiye na uchungu wa mwana basi si mzazi ni mzazi bahati mbaya.
Naanza kuelewaelewa kidogo. Lakini Lulu anahusika vipi na kifo hicho kama walikuwa wapenzi? Watu wanalalamika kama vile wanazo data zote. embu elezea...