Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Jamani tuwe na huruma. Naona ajabu watu wanamlaumu marehemukwa uhuni na kuwa msela bila sababu. Mie naona heri yake ambaye hajaacha vitotovisivyotambulika kama wanaotetea ujinga wa baba yake ambaye alimtelekeza lakinialipoona amefanikiwa anakuja kuvuna asipopanda. Hili ndilo tatizo la watanzaniawengi. Wanapenda kulaumu mlipodondokeabadala ya kulaumu mlipojikwaa. Hivi unapomkana mwanao halafu akikukana si ndiyohaki? Ulimkana akiwa hajijui sasa anajijua sioni ubaya akikulipa hivyo hivyo.Uzazi si kutungisha mimba bali kulea jamani wote tuna watoto tunajua uchungu wamwana. Mzazi asiye na uchungu wa mwana basi si mzazi ni mzazi bahati mbaya.

Naanza kuelewaelewa kidogo. Lakini Lulu anahusika vipi na kifo hicho kama walikuwa wapenzi? Watu wanalalamika kama vile wanazo data zote. embu elezea...
 
nimeona ni wapatie update ya mama yake marehemu Kanumba. hizi picha zimepigwa Bukoba leo hii na mama mzazi anapoelekea Dar na ndugu wengine.

Update: VIDEO YA MAMA NA NDUGU WAKIONGEA BUKOBA LINK HII
http://bukobawadau.blogspot.com/2012/04/kifo-cha-kanumba-check-interview-kati.html

HII LINK YA SAUTI TU BILA KIDEO JUU
http://bukobawadau.blogspot.com/2012/04/sikiliza-kile-anacho-kisema-mama-yake.html

nimezipata Bukobawadau blog:----

Mc Baraka akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba Bi Flora.


Mc Baraka(Bukobawadau blog) akimfariji Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba Bi. Flora leo Bukoba
alg+1.jpg


alg+2.jpg


2.jpg


6.jpg


7.jpg


11.jpg


12.jpg
 
We uliyepost ndo mshamba na mbwiga.. Unatumia msiba wa kanumba RIP kudhalilisha wengne.. Hcho kpnd hata mi nimekitazama.. Hakuzungumza kwa mtazamo wako hafifu.. Ye alisema kwamba akifanya hk kama kununua lexus na kanumba hufanya and vice versa. Kwa hvyo alivyozungumzia kiwanja na mengne ilikuwa kutilia mkazo huja yake, kitu ambacho kila mtu hufanya. Kuwe na upeo mpana kidogo.

....ni wale watu ambao ukikaa nao jambo dogo kwao tayari mtu anaringa..Inferiority complex
tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu,yote aliyosema Ray yeye kanote la lexus tu.
 
pole sana mama Munge akupe nguvu . huu ni wakati wako mgumu sana
 
... Kwamba halipo alipokuwa amefikia ni Mama yake ndiye aliyetoa mchango mkubwa! Hili jambo hata mimi halikunifurahisha hata kidogo.
Sasa kama Mama yake ndio alitoa mchango mkubwa kwa nini ana gubu na Mama wakambo? Si tayari kapewa mchango mkubwa na mama yake mzazi? Kwani Mama wakambo mama yake? Na tunajuaje kama mama yake mzazi hakumtosa baba yake ndio maana wakawa stranded? Na kama mama yake mzazi alikuwa anampenda sana kwa nini alimtosa kwa Mama wakambo?
 
jamani watu tupo kwenye majonzi hii mambo ya ku imagine yanatokea wapi
 
Labda MISS KEKO, MISS SEGEREA au MISS UKONGA 2012.

aisee ingekuwa ni wema angekoma kwa jinsi watanzania wanavyomuhukum.nataman ukwl ujulikane mapma toka hosptl maana namuonea sana lulu huruma km ameua bila kukusudia.najua huko alipo anamachungu mara mbili,kuondokewa na mpnz na kusababisha kifo chake.
magomvi yako kwnye mahusiano lakin matokeo yke yasihukumu na kubadili ukwl kwamba lulu ameguswa pia.Mungu na amlaze marehem mahala pema pepon
 
Back
Top Bottom