Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases...‘Corona is considered a security issue, not a public health issue’

Akili za ccm zinafanana from bottom to the top and vice versa.
 
Kama hvyo kwel vp yule anaewataka wabunge na uthibitisho kuwa wamepimwa korona?Achen kuwa mazumbukuku
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Where I'm at, there's a place the government has put up for auction, every week, there's a meeting of people from different places,

Merchants and various people gather, ironically, none of them are lost in Corona,

we know CVD-19 exists but not to the extent they say.

The prayers of the Saints, God has heard, God has allowed people to suffer, but Corona does not make Tanzanians weak and very sick.

God bless Tanzania

Asubuhi I karibu Sana, Mungu hawezi kunyamazia machozi ya Watanzania wakimlilia ili kuliponya Taifa na Dunia!

Tusimame tu Kwa udhabiti, Tunakwenda kuuona utukufu wa Mungu
 
Sasa majibu mbona wanatoa kwa ndugu? Lakini kwenye chain ya upimaji wa corona wewe unawaona watu wangapi hapo? Je hiyo kitu ugongwa ni Siri ya mgongwa na daktari wake unaona inaapply kwenye hiyo chain?
 
Huyu ni wa kupiga chini tu, kwa kila njia
 
Let them close the boarder! We don't case as long as their citizens are the ones who gona suffer!
 
Naona unahangaika sana. Let me tell you!! President Magufuli is far ahead than you idiot!!
 
Wasomi wa CCM hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…