Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases...‘Corona is considered a security issue, not a public health issue’

Hali zetu za kiuchumi zimetufanya tujipe upofu dhidi ya Corona......yana masokoni kupo congested alafu hakuna hata raia mwenye time na mask au kunawa mikono
 
Medical ethnics ni kitu gani,msaada tafadhali.
 
Inabidi tuondokane na huyu jamaa muda mfupi ujao kuna watu wengi Tz wanaoweza.
 
Hali zetu za kiuchumi zimetufanya tujipe upofu dhidi ya Corona......yana masokoni kupo congested alafu hakuna hata raia mwenye time na mask au kunawa mikono
kwani umesikia wangapi wamekufa huko masokoni kwa corona? kama una woga wa corona ji lock down kibinafsi usiende sokoni pisha wasioogopa
 
Politicizing a pandemic is detrimental and risky to the public. Is it a tactic to out smart CHADEMA politically?
 
Ni aibu kubwa sana sana kuwa na raia wa namna hii.
Hawahoji,wao ni kupiga filimbi ya wimbo aliochagua mlipaji tuu. Hii laana sijui imewakutaje hawa binadamu.
watu hatuogopi corona nenda popote umati kibao misokoni kibao lakini uliza hata mfanyabiashara yeyote nani kafa kwa korona sokoni atakwambia hakuna
hawa wazungu waende4 zao huko miili yao iko weak kwa kula ma juck food

kenya ,uganda,rwanda,malawi ,zambia ni walaji wakubwa wa mi junk food ya wazungu ya supermakert ndio maana wanahaha!!!

Tanzania hatuna supermarket culture ndio maana nyingi hazifanikiwi kibiashara tanzania sisi ni wala vyetu vya mashambani malaria hata isome tatu mtu anapiga jembe kama kawaida itaondoka yenyewe

watanzania tuna uzoefu wa kuishi na maradhi sio kuku wa mdondo sisi ukiona mtu anaenda supermarket unamshangaa karibu umpige picha umrushe watsap

mataifa dume duniani kwa corona ni Tanzania na Burundi tu hayaogopi

burundi ndio kabisa wala hawajali na hawana mpango cheki campain zao za siasa

 
Ghana is Ghana that is why we have different names We believe God can help us and he has helped us more than any country in the world including ghana or nigeria where there are those who proclaim themselves the so called giants of african christianity

To them they believe that God iS A CORONA VIRUS WHO CAN GIVE THEM CORONA VIRUS WHILE THEY WORSHIP HIM IN CHURCHES !!!!

stupid ghananians with their stupid president!! President of Nigeria is also is a stupid together with all the so called great men of god in Ghana and nigeria who accepted that stupidity of closing churches for fear of corona virus.

To hell with all world leaders both secular and religious including donald trump,Pope ETC and the so called giants of Faith in America ,kENYA,UGANDA,RWANDA ,south africa ,EUROPE ,asia,Africa etc WHO CLOSED churches for corona fear to hell with them

Our man of God president Magufuli said he believes God is not a Corona virus he cant give a corona virus to church members while they worship him!!! so he said he will never order closure of place of worship .I agree with him .God is not a corona virus and his duty is not to distribute corona virus in place of worship

We stand with our president because church leaders all over the world have failed to stand with God!! even pope HAS closed churches for worship!!! In such a vacuum of leadership we have to stand with the one who stands with God LIKE PRESIDENT Magufuli not presidents who close churches like stupid president of GHana and others who did the same
Pope,Bishops,priests,Pastors,prophets,apostles etc are closing places of worshgip world wide and hidding in caves and bedrooms for fear of corona at place of worship!!!!

when church leaders fail let president take over
 
Hakika hali inatisha........

Ni kwanini waTZ tunafichwa kupewa taarifa ya vifo viavyotokana na ugonjwa huu wa corona?
haya serikali inakuficha na ukoo wako unakuficha? ukoo ni kitu kikubwa sana kwa hiyo kwenye ukoo wako wote wamekuficha kuwa hakuna hata mtu mmoja kaugua au kafa kwa corona? ukoo wenu hakuna anayeumwa hata mmoja corona ukoo mzima? kama hayupo kwa hiyo unataka koo zingine ndio watangaze wana mgonjwa wa corona anayeumwa?

chadema acheni utoto kama corona ni janga utaanza kuliona kwa level ya ukoo wako au unataka ukoo upi ndio ufe kwa corona ili wewe uchekelee upewe taarifa zao za kuugua na kufa kwa corona?

kama ukoo mzima hauumwi shukuru mungu usitakie koo zingine mabaya kuwa ohh serikali inaficha kuna koo zingine wanakufa!!! mbona kwenu hawafi kama tatizo la corona ni kubwa? koo zako ni corona proof?

tuache kukuza mambo ya kijinga umeandika upumbavu mtupu
 
Mtaani huku habari za COVID-19 watu washazisahau kabisa yani hakuna cha tahadhari
cheki burundi ndio hawana habari nazo kabisa cheki saa hizi wako kampeni za uchaguzi mkuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…