Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases...‘Corona is considered a security issue, not a public health issue’

Truly ....Mkuu .. now Tz is Epicenter of cov 19/ Ccm chairman is hide information
Kuna mahali watoto walianzisha msemo: 'Leo tunasoma English' wakimaanisha 'wanakula ugali kisamvu'.Kumbe waliiona "is hide information".
 
Hakuna kinachofichwa Ila hakuna wagonjwa wapya wala vifo tokea Apr 29.

Habari za wanaopatikana na Corona huko mipakani ni njama za mabeberu tu.

Ni kweli haingii akilini kwa nini tufiche?
Tufiche ili itusaidie nini?. Hawafichwi wanaokufa na cancer, aids na magonjwa mengine mengi kwanini hawa wa corona wafichwe idadi yao?.
 
Very low kama kweli wewe ni mtanzania una shabikia hii story.
 
Hao humanitarian wamefanya the same pande zingine za dunia? Wake up
 
Inatisha. Wewe umelazwa kwa covid-19?
 
We can always rebuild the economy, but once people's lives are lost the situation is irreversible.
 
Hali zetu za kiuchumi zimetufanya tujipe upofu dhidi ya Corona......yana masokoni kupo congested alafu hakuna hata raia mwenye time na mask au kunawa mikono

Inategemeana na eneo usifanye generalization, mahali nilipo huingii ndani ya soko bila kunawa mikono na kuvaa mask
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…