simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Mar 7, 2020 #41 Kibanga Ampiga Mkoloni said: Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili. Click to expand... Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi.
Kibanga Ampiga Mkoloni said: Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili. Click to expand... Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Mar 9, 2020 #42 simplemind said: Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi. Click to expand... MKuu ipo hivyo mbona ?
simplemind said: Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi. Click to expand... MKuu ipo hivyo mbona ?
GodfreyTajiri JF-Expert Member Joined Sep 26, 2010 Posts 1,001 Reaction score 704 Mar 9, 2020 #43 Naamini wataalamu wetu wa Wizara ya Kilimo inabidi watueleze wananchi wakati haya yanatendeka wao walikuwa wapi?
Naamini wataalamu wetu wa Wizara ya Kilimo inabidi watueleze wananchi wakati haya yanatendeka wao walikuwa wapi?
Ray of light Senior Member Joined Sep 8, 2018 Posts 154 Reaction score 298 Mar 9, 2020 #44 This is agricultural colonisation and once again Africa doesn't have the guts to standpipe for their rights!
This is agricultural colonisation and once again Africa doesn't have the guts to standpipe for their rights!
sodoliki JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,593 Reaction score 2,019 Mar 9, 2020 #45 Angalieni nchi hii mnaaanza kuuzwa taratibu, ilianza na acaccia๐๐๐๐๐