simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi.Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili.