Tanzanian farmers will face heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange

Tanzanian farmers will face heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange

Thubutu hayaoi ma GMO yakilimw akaribu na mbegu za asili , nyuki wakirruka huku na huku yanakwenda kuharibu mbegu za asili.
Thubutu nitawashitaki Mosanto kwa kuvuruga mbegu za asili kuanzia mahakama za mwanzo hadi mahakama kuu ikibidi.
 
Naamini wataalamu wetu wa Wizara ya Kilimo inabidi watueleze wananchi wakati haya yanatendeka
wao walikuwa wapi?
 
This is agricultural colonisation and once again Africa doesn't have the guts to standpipe for their rights!
 
Angalieni nchi hii mnaaanza kuuzwa taratibu, ilianza na acaccia😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom