Mdada anaependa soka ananisisimua sana....Napita tu. Naenda cheki epielo
Utanipa matokeo PM.Napita tu. Naenda cheki epielo
Nipo shouger napita kimya kimya.
mbona hajaja badoHi!
Wapendwa Leo nina bonge la furaha! Kumkaribisha Na kumuhost Mrembo Tanzanian lady mida ya jioni ya Leo!
Asanteni sana!
sawaSubiri
Nimejikuta nakupenda naomba jibu sina swali zaidi.Nipo hapa
Poa tuMambo Tanzanian lady naanza Na swali langu ila wote wanakaribishwa Na jibu swali lolote.
Una umri gani!
Hebu tupia picha yako halisi
Asante kwa upendoNimejikuta nakupenda naomba jibu sina swali zaidi.