Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 320
Error typing nimeedit lknUnamaliza nini mwezi mmoja ujao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Error typing nimeedit lknUnamaliza nini mwezi mmoja ujao?
Atakuwa mume soon.Mchumba ama mume!
Anyway tabia zipi zinakukera sana ukitendewa?
Watu Wa aina gani unavutiwa nao kimwenendo
Siku hizi si umeamua kunitesa kwa kukumiss[emoji22]Kipenzi nilikuwa sijakuona mda.
U hali gani bibie?
Okay...Mimi nitakuuliza maswali kadhaaUtakalo penda
Ulianza mahusiano ya kimapenzi ukiwa Na umri gani!Atakuwa mume soon.
Sipendi tabia za kiswahili swahili yani kama ukisema yes iwe kweli yes.
Napenda watu wenye hofu ya Mungu napenda kujifunza mengi kwao
Okay...Mimi nitakuuliza maswali kadhaa
1. Kwa nini umejiita Tanzanian Lady, kipi kilikusukuma kutumia jina hili??
2. Umesema una familia (baba na mtoto), vipi wewe na Mumeo mnagawanaje majukumu ya kuitunza familia
3. Ni changamoto zipi ulizipitia kipindi cha mahusiano kuanzia urafiki>>uchumba na hatimaye kuishi pamoja/ndoa
4. Kwa wewe, maisha bora ni yapi??
5. Elimu yako uliyoipata inasaidiaje jamii inayokuzunguka bibie kwa namna moja au nyingine...
Mateso unayopitia likewise kwang.Siku hizi si umeamua kunitesa kwa kukumiss[emoji22]
Sijambo sijui weye
Leo Nimehudhuria Interview Mubashara Kabisa Numbisa Msalimie Morinho Ni Mwendo Wa 4GAtakuwa mume soon.
Sipendi tabia za kiswahili swahili yani kama ukisema yes iwe kweli yes.
Napenda watu wenye hofu ya Mungu napenda kujifunza mengi kwao
Naipenda sana Tanzania hii ndiyo sababu ya kujiita Tanzanian Lady
Kwa sasa majukumu yote ya kucare familia ni yake maana bado nipo masomo.
Changamoto zilikuwa nyingi tu ila kubwa ilikuwa wivu uliokithiri.
Maisha bora ni yale ambayo unaweza ukagusa wengine kwa namna moja ama nyingine
Sijawahi kutoa rushwa ya ngono na wala sintafanya hivyo.Leo Nimehudhuria Interview Mubashara Kabisa Numbisa Msalimie Morinho Ni Mwendo Wa 4G
1.Tanzania Lady Umeshawahi Kutoa Mimba Mara Ngapi?
2.Ulijisikiaje Siku Ya Kwanza Kutoka Kimapenzi Na Mtu Aliyekuzidi Umri?
3.Mara Zote iPI Ni Best Dedication Song Kwa Mpenzi Wako?
4.Je Umeshawahi Kutoa Rushwa Ya Ngono ?? Kama ndiyo Mara Ngapi na ili Upatiwe Huduma Gani!!?
Karibu Kwa Majibu........ Tanzania Lady.
"NeVeR_sAy_NeVeR"
Teknic nzuri sana hii ya kumvuta Numbisa wa watu pm!![emoji4][emoji4][emoji4]Mdada anaependa soka ananisisimua sana....
Wambea wameanza mchakato!!
Ulianza mahusiano ya kimapenzi ukiwa Na umri gani!
Hadi sasa umekuwa Na wapenzi wangapi uliopita nao?
Je uliwahi kukutana Na mwanaume aliyekuomba penzi the first day!?
Ulimpa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]We unahisi upendo wa aina gani mrembo??
NB: hamna urafiki wa simba na swala.
Kipenga kikipulizwa lazima washabiki washtuaneWambea wameanza mchakato!!
Napotez lengo...hapa ninaemuwinda ni anaehojiwa...Teknic nzuri sana hii ya kumvuta Numbisa wa watu pm!![emoji4][emoji4][emoji4]
Umesema unaipenda TZ nini wajivunia kuhusu Tanzania??
Kwa upande wako Unazungumziaje malezi ya mzazi mmoja tu?? Single Father/mother
Ulikabiliana vipi na wivu uliokithiri? ilikuwaje mpaka "UKAKITHIRI"
Wewe uonavyo, maisha ya Tanzania yana na ya huko ughaibuni yapi yana changamoto nyingi? tungependa kufahamu
**swali #5 usilisahau hapo juu[emoji115][emoji115]
Umesema unaipenda TZ nini wajivunia kuhusu Tanzania??
Kwa upande wako Unazungumziaje malezi ya mzazi mmoja tu?? Single Father/mother
Ulikabiliana vipi na wivu uliokithiri? ilikuwaje mpaka "UKAKITHIRI"
Wewe uonavyo, maisha ya Tanzania yana na ya huko ughaibuni yapi yana changamoto nyingi? tungependa kufahamu
**swali #5 usilisahau hapo juu[emoji115][emoji115]
Sincerely!,kavukavu Na nyama kwa nyama,ipi inakuvutia Na kukunogesha zaidi!