Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hahahaha man u 4G
Mdada anaependa soka ananisisimua sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada anaependa soka ananisisimua sana....
Utanipa matokeo PM.
Naomba kujua utaratibu ambao unaeleweka ili tujue vyema tusije tukarudia rudia maswali..namaanisha kusiwe na mkanganyiko mkuuMuulize dukuduku lako
Kila mmoja aulize maswali
Cc joseverest
Numbisa
We unahisi upendo wa aina gani mrembo??Asante kwa upendo
Asanteh shoga ndio nimeingia now
Sijaelewa ni upendo wa vipi labdaWe unahisi upendo wa aina gani mrembo??
NB: hamna urafiki wa simba na swala.
Sawa comradeAtajibu maswali yote ya DJ Na members at same time
Nakuona nakuona[emoji102][emoji102]We unahisi upendo wa aina gani mrembo??
NB: hamna urafiki wa simba na swala.
Nimefanikiwa kumaliza elimu ya juuKwa umri ulionao umekamilisha mambo gani makubwa
Ahsante sana carba hopely mzima na pia hujambo
Swadakta kabisa umeuliza vizuri sana mrembo.Sijaelewa ni upendo wa vipi labda
Kipenzi nilikuwa sijakuona mda.Nakuona nakuona[emoji102][emoji102]
Maswali ya aina gani tukuulize na yapi ambayo usingependa tukuulize..tuweke wazi tafadhaliNipo hapa
Unamaliza nini mwezi mmoja ujao?Nimefanikiwa kumaliza elimu ya juu
mwezi mmoja ujao namaliza pia
Nimefanikiwa kuwa familia nnayoipenda, mchumba na mtoto mmoja.
Mchumba ama mume!Nimefanikiwa kumaliza elimu ya juu
mwezi mmoja ujao namaliza pia
Nimefanikiwa kuwa familia nnayoipenda, mchumba na mtoto mmoja.
Utakalo pendaMaswali ya aina gani tukuulize na yapi ambayo usingependa tukuulize..tuweke wazi tafadhali