Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k

1. Sio bima zote zinaweza kucover gharama kubwa za matibabu kma hizi hivyo kma anayo ni ile ya kawaida tu ya check za hapa na pake sio hii ya kutibiwa nje kwa million 8 kwa siku
2. kwenye press alidai hao vijana walitumwa na sirro sasa kma uongi si wangemkamata lisu au wangewakamata hao wanaomfuatilia ili kuondoa utata maana nape anadai aliwahi ripoti polisi na pia bashe ssa nini ambacho polisi hawakijui mpka usingizie RB????

3 . polisi hawaaminiki kabisa maana mbona saanane hajapatikana au waliomuua mawazo mchana kweupe???

4. wanawasemea unauhakika?? mfumo waliamua au ni watawala ndio wameamua?? ni ukweli kagame na museveni hawaoni ya magufuli sababu nao ni walewale wameua wapinzani mpka wamemaliza wote ssa ulitegemea hao ndio wamshauri magufuli??? wakati nchini kwao wanasiasa wanalalamika kma kina msigwa pia

5. wamesema wazi kabisa wanasupport jubilee sababu ya demokrasia sio kingine zaidi
 
It doesn't matter how good or bad English speaker you may be but what matters is how good message and views you may deliver. The guys [honorables] have tabled down the situation we are facing as a nation. Even their expressions were so good. Remember those Mps can speak three languages

1. Kiswahili
2. Kichaga (Hon. Lema), Kihehe (Hon. Msigwa)
3. English

But those mzungus whom people especially illiterate try to admire and be proud of, they only speak one language (kiingereza) .
We as Tanzanian we should be proudly of our Nation and language. Regardless which political party we belong .

Be
 
 
sayansi gani wakati anatumia mabavu ya kidikteta kupambana na maendeleo hivi unafkiri bunge likiwa huru kuisimamia serikali na mikutano plus uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ukiwepo unadhabi magufuli anauwezo wa kucontent ngvu ya upinzani???

kma anatumia sayansi je kivp awazibe midomo wapinzani?? wwe unasema waache kulialia unataka wabebe bunduki au waanze ugaidi kama syria ili tuheshimiane ama ulitakaje maana unalaumu tu hutoi suluhisho

acheni kumpamba dikteta iko siku akiwageukia nyie kma museveni alivyogeukia NRM sasa na kuanza kuwamaliza wanaompinga ndipo mtakapogundua udhalimu wake nuie endeleeni kutumika tu nape yukwapi na kidomo chake ??
 

Did you say the interview was meant to talk abt the issue that brought them to Kenya? And what's that issue if I may ask? Should it be lissu's assassination attempt? I think th answer is yes (according to you)


But let me prove you wrong! The purpose of the interview was to talk abt POLITICS IN TANZANIA. I ask you to re-watch the video or have a look at the screenshot below!



So we have a lot political issues happening in Tanzania though Lissu's case is inclusive!

Also you asked me on how I found out that no body cares! Let me tell you, with an exception of lissu's case (which of course everybody is concerned with his wellbeing), the rest are not a topic of discussion!


Take an example of this thread, Most Kenyans are talking abt their poor way of expressing things and not what they said! Visit their social media, kenya talk, twitter and some blogs, the story is the same, it's all abt poor English and the likes! This is a proof that no body cares abt what they uttered!

Also I need to remind you that no accent is poor, and no body has ever said abt that! Just the poor English while they had all the opportunity to talk in Swahili!

And you wanted to knw how those guys intended to seek sympathy? Let me ask you! If you tell kenyans that you aren't allowed to commence political rallies out of your constituency, the police are seeking for you whilst you are in Nairobi, and likes, what do you expect Kenyans to do for you? Congratulate you? Feel sorry for u? or join you in the fight? obviously you expect them to feel sorry for u! and that's sympathy seeking!
 
That is strictly your opinion they said nothing to seek sympathy rather Lema was very clear that they are agitating for international intervention because of the dictatorial regime trying to dismantle opposition in Tanzania thus they are helpless and vulnerable to such assasinations for example mawazo alphonce and ben saanane thus they have no internal bodies which could guarantee their safety

2. The topic is about politics of Tanzania but at the peak it was all about lisu coz that is the biggest topic in opposition political sphere in Tanzania now what else did you expect them to talk about while its clear that being an opposition in Tanzania is a guarantee to your death !! if i may to ask what did u want them to talk about???

3. kenyans dont care becoz of mere social networks ?? KTN is worldwide and i have a couple of friends in kenya who watched it and had mixed feelings about the tanzanian dictatorial regime as i may call it. At least go to you tube and check this very video u has taken a screenshot people only had to comment about the subject not the mode of presentation now among millions of KTN viewers countrywide u base ur conclusion from 20 comments on social media??? this is a joke for sure

finally i would like to remind u that they spoke english becoz the target audience was the international community thats all
 
Nilipowasikiliza hawa waheshimiwa wetu, nikajaribu kuwaza kama CHADEMA wangeshinda uchaguzi wa 2015! Hawa ndo wanasemekana ni kati ya wabunge machachari; ina maana wasingeukosa uwaziri.
Just imagine hawa ndo mawaziri sasa! Wanawakilisha Tanzania na hata mambo ya kimataifa hawajui hata diplomatic ethics hawana kabisaaaaa - Yaani nilikuwa nasikia kama moyo unanisimama kwa aibu walipokuwa wanaongea
Yaani kiukweli hakuna kitu kabisa .... Kama upinzania wenyewe ndo huu wa watu wepesiwepesi vichwani kama hawa.
Unapoongea nje ya nchi ama kwenye vyombo vya habari vya nje unapaswa kuwa na akili ndeefu sana sana. Mwana diplomasia yoyote aliyebobea huwa anafahamu nini cha kuongea na wakati gani na anaelewa umuhimu wa nchi yake katika ngazi ya kimataifa. Wao walikuwa wanaongea kama wako kwenye sehemu za wapiga kura wao
 
Reactions: Oii
Huwezi kumkuta mkenya anafanya mambo ya kiji ga kma hiki kwenye nchi za kigeni,
 
Acha kejeli wwe ina maana msigwa na lema hawajui chochote kichwani really?? Hyo ni interview ndio platform ya wao kueleza madukuduku yao sababu hoja mezani ni siasa za Tanzania hawajasema wazungumzie uchumi ama utamaduni sasa niambie ni kipi msigwa kazungumza ambacho hakijui ama lema???

kma unaona hawa ni vilaza sana kuwa mawaziri naomba uniambie hao maccm ambao unaona ndio wanaweza uwaziri sana wamesaidia nini mpka sasa miaka 50 nchi maskini na hta huyo mahiga mwenyewe na maPHD yote kashindwa hata kuleta wawekezaji wa viwanda au hta kuleta wanunuzi wa gesi asilia ambalo CAG kasema imedoda kupata wateja
 
Huwezi kumkuta mkenya anafanya mambo ya kiji ga kma hiki kwenye nchi za kigeni,
Sasa lisu kapigwa risasi unataka wawe wanafki waanze kusifia Kuwait kuna demokrasia Tanzania??? kma wakenya hawawezi kwa taarifa ababu namwamba akiwa mkutano wa kisera wa ACT aliikaanga sana serikali ya jubilee kma hujui kitu ni heri unyamaze kuliko kupotosha
 


Huo ni ubishi wa kitoto na wa kinafiki na kidhalimu, maana wanayoyahubiri, hao unaowaenzi, hayaniletei mimi na familia yangu mkate mezani. Wanachokifanya ni kujipatia umaarufu kisiasa kwa faida yao na famalia zao. Labda nikukumbushe maana ya Power and Politics ndiyo ufumbuke akili.

Power and Politics: first you use the people to get at the top, then you hurt and exploit them to stay at the top. Hicho ndicho wanachokifanya viongozi wa upinzani kwako wewe, na wenye mawazo kama wewe. Unatumika kuwaingiza Ikulu. Na wakifika huko, hawatafanya kile anachokifanya hivi leo Rais Magufuli, ambaye amejipambanua kuwa ni mzalendo wa kweli, katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi hii.

Anakichofanya Rais Magufuli ya kuendesha vita ya uzembe kazini na urasmu, rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, na vita ya kiuchumi, ndicho kinanipa matumaini mimi na familia yangu.

Angalau kwa sasa:
1) nimeweza kumpeleka mwanangu shule bila kuwa na shinikizo la kutafuta ada.
2) ninakwenda ofisi ya serikali na kuhudumia bila kuzungushwa.
3) kama mkulima nina uhakika wa kuuza mazao yangu, maana miundo mbinu inaboreshwa na kuimarishwa.
4) uhuru niliokuwa nao, mimi kama mimi, wa kutoa mawazo bado ninao, na ndiyo maana nachangia kwenye mitandao ya kijamii, pasipo hofu.
5) ninapata habari zote, mbaya na nzuri, kuhusu Serikali pasipo hofu.
6) nafuata sheria bila shurti.

Na ninamini kuna mengi mazuri niyategemea, na nitayapata kama mimi, kutoka kwa serikali hii na wala singojei "TIME WILL TELL", kama wewe mithili ya fisi na mkono wa binadamu (rejea aya yako ya mwisho).
 
Reactions: Oii

Wewe hapo ulipo sasa na wenzako hao wote ni matunda ya kilichofanyika miaka 50, Kila kukicha kelele za cheap politics tumechoka sasa, hatuhitaji siasa sasa tunataka kuona visible things being implemented positively for our development, watu hawali cheap politics kama hizi mnazofanya. Ni udogo wa mawazo na exposure
 
Weka link,vinginevyo ww ni muongo.
 

Kwahiyo Kenya wana demokrasia! Mbona unachekesha
 
Hao ndio wasomi wao ..mbowe kakimbia nasikia alialikwa
 
Wakenya mkimsikiliza msingwa mtakuwa wapumbavu .. Huyo jamaa anatafutwa na wananchi jimboni kwake maana hawamuoni ati
 
na nmeelewa ssa. kwanni unashabikia udhalimu sababu hauathiriki nao kma anavyoathirika lisu na familia yake ama saanane na familia yake that is a selfish mind

1 elimu bure inakufaidisha basi unasahau kuwa wanafunzi zaidi ya elf 50 wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika ila wwe unaangalia upande wako tu

unasahau kuna familia za walimu zinataabika sababu walimu wana madeni toka 2009 hawajalipwa mpaka leo wwe unshabikia tu upande wako hivi unafkiri lisu anashindwa kula na kulala kwa kuangalia maslahi yake kuliko kuisimamia serkali bungeni mpka anarisk maisha yake???

kwa akili kma zako mandela lumumba na nyerere wasingekuwepi kabisa

kingine nmekuuliza kina msigwa unaona wanalialia je unawashauri wafanyeje ssa ambapo unaona kma wanachofanya wanakosea yaani whats ur advise to them wajitoe muhanga kma Hamas na Fatah????

unasema wako pale sababu ya matumbo yao je kwanni basi arisk kupigwa risasi 40?? si angekuwa moderate kma kina mrema na cheyo??

anyway kma kupigania haki ya watanzania ni unafki basi lisu aendelee tu kuwa mnafki we r behind him
 
Kwahiyo Kenya wana demokrasia! Mbona unachekesha
At least far better than Tanzania rail ametishia mpka jeshi hadi kazuia watu wasiende kazini ila bado hajaitwa mchochezi wala kulala jela hivi Tanzania inawezekana hiyo??
 
Wakenya mkimsikiliza msingwa mtakuwa wapumbavu .. Huyo jamaa anatafutwa na wananchi jimboni kwake maana hawamuoni ati
acha utani mambo serious huyo msigwa ni kati ya wabunge wanaopiga sana maendeleo jimboni na kawaambie kma mwakalebelea alishindwa 2015 basi mahiga na kasesera wanajisumbua tu hyo 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…