zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
1. Sio bima zote zinaweza kucover gharama kubwa za matibabu kma hizi hivyo kma anayo ni ile ya kawaida tu ya check za hapa na pake sio hii ya kutibiwa nje kwa million 8 kwa sikuHali ya Lissu sio nzuri ingawa inaendelea kutengemaa na ni muujiza kuwa yu hai na wanaendelea kuomba michango ya matibabu ndani na nje kutokana na gharama za matibabu kuwa aghali Nairobi......Lissu hakutoa taarifa polisi kwamba anafuatiliwa ila aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuwaambia.....Dreva wa Lissu anapatiwa matibabu ya kisaikolojia Nairobi... Wanahitaji wapelelezi kutoka Ulaya kwa sababu hawana imani na polisi wa Tanzania ingawa serikali haitaruhusu na hawawezi kupeleka malalamiko yao Kikanda kwa sababu hawana imani na Kagame na Mseveni...... Siasa za Tanzania zimetoka kwenye kuzuia mikutano ya kisiasa ya hadhara (ingawa wao kama wabunge wanaifanya) na ukamataji wa wabunge na sasa ni wanawapiga risasi wabunge.....Wanamuunga mkono Uhuru kwa sababu Raila aliwasaliti kwa kumuunga mkono Maghufuli na hivyo kukiuka misingi ya siasa za upinzani......Wataendelea kupiga kelele (kupaaza sauti zao) ili watu na dunia isikie.......Hawajajua bado nani atagombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya chama chao.
Maswali yangu ni haya:
1. Kwa nini wasitumie utaratibu wa kawaida wa bima ya afya kwa vile hatari ya usalama wake haipo kutoka na wao kuwa macho muda wote;
2. Kwa nini Lisuu hakutoa taarifa polisi ili kuwa na ushahidi (RBNo) wa kutishiwa maisha?;
3. Kwa nini hawataki kutoa ushirikiano kwa polisi ili basi kuwa na ushahidi kwamba polisi wameshindwa kutekeleza wajibu wao? Au ni kwa sababu wao ndio watuhumiwa?;
4. Kwa nini wanawasemea wananchi wa Uganda na Rwanda ambao kwao mfumo walionao wa kuendesha nchi ndio waliouamua?;
5. Wao kumuunga Uhuru (Jubilee - chama tawala) hawaoni kwamba wanakiuka misingi ya siasa za upinzani?
Wasalaam!
2. kwenye press alidai hao vijana walitumwa na sirro sasa kma uongi si wangemkamata lisu au wangewakamata hao wanaomfuatilia ili kuondoa utata maana nape anadai aliwahi ripoti polisi na pia bashe ssa nini ambacho polisi hawakijui mpka usingizie RB????
3 . polisi hawaaminiki kabisa maana mbona saanane hajapatikana au waliomuua mawazo mchana kweupe???
4. wanawasemea unauhakika?? mfumo waliamua au ni watawala ndio wameamua?? ni ukweli kagame na museveni hawaoni ya magufuli sababu nao ni walewale wameua wapinzani mpka wamemaliza wote ssa ulitegemea hao ndio wamshauri magufuli??? wakati nchini kwao wanasiasa wanalalamika kma kina msigwa pia
5. wamesema wazi kabisa wanasupport jubilee sababu ya demokrasia sio kingine zaidi