Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Wewe dogo sidhani kama unauwezo wa kudadavua mambo zaidi ya chuki juu ya TZ.
Kenya mpo na nini cha kujivunia tuje kuomba msaada?

Acha roho ya kunguni ndugu utakufa kwa maji ya moto.
Hatuhitaji chochote kwenu.
Wachana na litoto lidogo hilo
 
Sipati picha wakenya watakavyo jazana ili kumuona Magufuli, maana walimsubiri kwa hamu sana.
Wale watanzania omba omba wanaoishi kenya wako na hamu kabisa, sisi wengine tutakua tunaenda kazini tunasmamishwa tunaona vigari viko na bendera vinatupita..... alafu badae tunaona kwa habari za jioni kwamba rais wa tz alikua kenya kwa ziara alafu ndo tunakumbuka, 'oooh, vile vigari vilitupita ndo maana vilikua na bendera tofauti na ile ya kawaida ya kenya'
 
Jaribu kutazama wenzio jinsi wanavyovutiwa na uongozi wa Magufuli..
Tazama tena mkenya akitoa darasa kwa rais wenu ili awe kama Magufuli..
Magufuli amekuwa gumzo kila mahali hadi kwenye vituo vya televisheni vya Kenya..

Hadi kwenye vichekesho..

Najua una shauku ya kumuona, jitahidi siku hiyo uwe mbele ya umati ili umshike hata mkono[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Is there TV in TZ cause naona mnaangalia news za kenya kweli kweli ....we rule u
 
Ngoja TingaTinga afike ndiyo utathibitisha usemi wako!
1477757980907.jpg

Baada ya kuomba msaada!!
 
Ilitosha kabisa kaniuliza, "wewe unajua Kiswahili? " . Hukua na haja ya kuongezea neno " sasa".
Bado nakusisitizia PUNGUZA POVU.
[emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji121][emoji121][emoji121]
 
Ilitosha kabisa kaniuliza, "wewe unajua Kiswahili? " . Hukua na haja ya kuongezea neno " sasa".
Bado nakusisitizia PUNGUZA POVU.
Nikwambie kitu dogo. Kiswahili hujui. Hebu turudi kwenye mada maana hapa unajidhalilisha.
 
Jaribu kutazama wenzio jinsi wanavyovutiwa na uongozi wa Magufuli..
Tazama tena mkenya akitoa darasa kwa rais wenu ili awe kama Magufuli..
Magufuli amekuwa gumzo kila mahali hadi kwenye vituo vya televisheni vya Kenya..

Hadi kwenye vichekesho..

Najua una shauku ya kumuona, jitahidi siku hiyo uwe mbele ya umati ili umshike hata mkono[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Inakaa hauwajui wakenya... haya ingiza kichwani mwako alafu ungoje kakenya wajitokeze kumwona.......

naeza nikakuletea video nyingi zikiongelea kuhusu buhari wa nigeria vile pia yeye ni buldozer kiaina kwa kupambana na ufisadi.... alipokuja wakenya hata hawakujua yuko nchini, walifanya kumuona kwa tv badae
 
Back
Top Bottom