Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Uku jf nikutambiana nakurushiana maneno kama gengeni ....mada zinatolewa +ve comments zinakua chache pumba nyingi na mapovu yasionasababu...
Sijui ndio tabia za watu warika moja au shida iko wapi. . . ..threads by nyingi kila kitu mtu anatengeneza Uzi. ..
Utafika mda ata mtu akilaatatengeneza Uzi sasa na kupost picha.....embu tubadilike guys tabia za ajabu za nn??
 
Asome tu hotuba atayo andaliwa asije kututia aibu...
Pia mambo ya kuomba ajengewe msikiti na kiwanja asirudie tena.
 
jibu ni moja tu,JPM hategemei umaarufu wa kupitia social media,ni uchapakazi wake ndio unasababisha ajadiliwe ktk social media kila sehemu duniani.

Uhuru Kenyatta anategemea umaarufu kupitia social media kwa 100%.ndio maana kila anachofanya lazima aweke update Fb na twitter ili watu wamsifie.
kama ulikua hujui huku kenya kuna katiba mpya.... amayo inamhitaji rais kutangazia na kujulisha wakenya (hata kabla kuulizwa) chochote muhimu anachofanya kwa siku ambacho kinahusisha kenya, akishindwa kufanya hivyo basi mkenya yeyote ana haki ya kumpeleka rais mahakamani, kwahivyo ukiona rais anatumia social media kujulisha wakenya nini anachofanya usifikirie ni kwa sifa pekee....
wp_ss_20161029_0004.png
wp_ss_20161029_0005.png
 
facebook page ya kenyatta uone watanzania kila siku wanafungua roho zao hapo na utendakazi wa uhuru..... kila siku utaina watu kutoka mozambique, ghana, namibia wanajazana hapo wakipongeza....... we inaonekana ni mara ya kwanza kuona rais wako akiongelewa nchi nyengine... huku hilo ni jambo la kawaida sana, usiwache iingie kwa akili yako, utakua unajidanganya bure tu..... huyo magu wenu, akipewa uongozi hapa kenya hatakaa hata miezi miwili, akifunga stesheni moja au apinge upinzani kukusanyika mahali flani, hakutakalika, hakuna biashara yoyote itasonga mbele,....... wakenya wanapenda vile anapambana na ufisadi, lakini hicho pekee ndo kitu wanachopenda, hayo mengine awafanyiayo tunawaonea huruma sana, poleni sana kwa kupelekwa kama vitoto vidogo vya shule na JPM ndie mwalimu mkuu
Sio wote wanaokwambia wewe mzuri wanamaanisha hivyo, wengine wanakucheka rohoni.
 
Nasikia wengi wenyu mtajipanga kwa Barabara kupiga nae selfie.

kadoda11
Hapo siwezi bisha, kwa kweli Wakenya wengi wasiojua hali na siasa za Bongo, wengi wanotegemea kusoma magazeti magazeti watamshabikia sana Magufuli. Hususan mashabiki wa Raila maana ana uswahiba na Magufuli. Lakini kwa wale tunajua mlivyo na jinsi maisha yamekua magumu kwenu, huku Magu akilaumu eti ni kwasababu mumeficha pesa kwenye magodoro, hatuwezi kuwa na muda wa kuhangaika na hayo maselife unayoyasema.

Magu alipoingia mwanzo nilijua atatenda, na kwamba ana mikakati. Ameishia mikwara tu na kushtukiza shtukiza huku ameandamana na wana habari, hayo mambo ya kusaka umaarufu tu. Sasa hizo habari ndio huwafikia Wakenya huku wengi wanona kama kweli anafanya mambo.

Mafisadi waliotajwa kwenye kashfa nyingi kama IPTL, ESCROW n.k. bado wapo wameshikilia nyadhifa kwenye uongozi. Yeye amefuata samaki wadogo wadogo. Kuna ripoti niliisoma ya Zitto kabwe nikajua kweli bado mnalo.
 
Wale watanzania omba omba wanaoishi kenya wako na hamu kabisa, sisi wengine tutakua tunaenda kazini tunasmamishwa tunaona vigari viko na bendera vinatupita..... alafu badae tunaona kwa habari za jioni kwamba rais wa tz alikua kenya kwa ziara alafu ndo tunakumbuka, 'oooh, vile vigari vilitupita ndo maana vilikua na bendera tofauti na ile ya kawaida ya kenya'

unatabia za kike, au mwanaume shoga.
 
kadoda11
Hapo siwezi bisha, kwa kweli Wakenya wengi wasiojua hali na siasa za Bongo, wengi wanotegemea kusoma magazeti magazeti watamshabikia sana Magufuli. Hususan mashabiki wa Raila maana ana uswahiba na Magufuli. Lakini kwa wale tunajua mlivyo na jinsi maisha yamekua magumu kwenu, huku Magu akilaumu eti ni kwasababu mumeficha pesa kwenye magodoro, hatuwezi kuwa na muda wa kuhangaika na hayo maselife unayoyasema.

Magu alipoingia mwanzo nilijua atatenda, na kwamba ana mikakati. Ameishia mikwara tu na kushtukiza shtukiza huku ameandamana na wana habari, hayo mambo ya kusaka umaarufu tu. Sasa hizo habari ndio huwafikia Wakenya huku wengi wanona kama kweli anafanya mambo.

Mafisadi waliotajwa kwenye kashfa nyingi kama IPTL, ESCROW n.k. bado wapo wameshikilia nyadhifa kwenye uongozi. Yeye amefuata samaki wadogo wadogo. Kuna ripoti niliisoma ya Zitto kabwe nikajua kweli bado mnalo.

MK254,
Ndiyo maana mnatakiwa kutembelea sana Jamiiforums mpate habari za kina na za uhakika kuhusu hali halisi za nchi za Afrika Mashariki na Kati.
 
kadoda11
Hapo siwezi bisha, kwa kweli Wakenya wengi wasiojua hali na siasa za Bongo, wengi wanotegemea kusoma magazeti magazeti watamshabikia sana Magufuli. Hususan mashabiki wa Raila maana ana uswahiba na Magufuli. Lakini kwa wale tunajua mlivyo na jinsi maisha yamekua magumu kwenu, huku Magu akilaumu eti ni kwasababu mumeficha pesa kwenye magodoro, hatuwezi kuwa na muda wa kuhangaika na hayo maselife unayoyasema.

Magu alipoingia mwanzo nilijua atatenda, na kwamba ana mikakati. Ameishia mikwara tu na kushtukiza shtukiza huku ameandamana na wana habari, hayo mambo ya kusaka umaarufu tu. Sasa hizo habari ndio huwafikia Wakenya huku wengi wanona kama kweli anafanya mambo.

Mafisadi waliotajwa kwenye kashfa nyingi kama IPTL, ESCROW n.k. bado wapo wameshikilia nyadhifa kwenye uongozi. Yeye amefuata samaki wadogo wadogo. Kuna ripoti niliisoma ya Zitto kabwe nikajua kweli bado mnalo.

ivi ww ni mwanasiasa au? naona unaaza kuingiza siasa hadi unahama mada, Magu haji kufanya siasa huko, anakuja kikazi zaidi, naona unahoma ya uchaguz wenu wa mwakani,
 
kadoda11
Hapo siwezi bisha, kwa kweli Wakenya wengi wasiojua hali na siasa za Bongo, wengi wanotegemea kusoma magazeti magazeti watamshabikia sana Magufuli. Hususan mashabiki wa Raila maana ana uswahiba na Magufuli. Lakini kwa wale tunajua mlivyo na jinsi maisha yamekua magumu kwenu, huku Magu akilaumu eti ni kwasababu mumeficha pesa kwenye magodoro, hatuwezi kuwa na muda wa kuhangaika na hayo maselife unayoyasema.

Magu alipoingia mwanzo nilijua atatenda, na kwamba ana mikakati. Ameishia mikwara tu na kushtukiza shtukiza huku ameandamana na wana habari, hayo mambo ya kusaka umaarufu tu. Sasa hizo habari ndio huwafikia Wakenya huku wengi wanona kama kweli anafanya mambo.

Mafisadi waliotajwa kwenye kashfa nyingi kama IPTL, ESCROW n.k. bado wapo wameshikilia nyadhifa kwenye uongozi. Yeye amefuata samaki wadogo wadogo. Kuna ripoti niliisoma ya Zitto kabwe nikajua kweli bado mnalo.
4:1
 
Back
Top Bottom