Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
No one hates you. Ni tabia yako mbovu inakufanya uwe katika kundi la kukosa. Sisi wa TZ hatunaga kinyongo na mtu. Lakini ukijishaua shaua na kujifanya uko juu wakati njaa inakutesa tuna kulipua tu.Laa Nachukia waTZ walio JF wanao chukia wakenya bila sababu ....ingekuwa wasomali singe bother but what has kenya done to deserve all this hate from Tanzanians??