Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Laa Nachukia waTZ walio JF wanao chukia wakenya bila sababu ....ingekuwa wasomali singe bother but what has kenya done to deserve all this hate from Tanzanians??
No one hates you. Ni tabia yako mbovu inakufanya uwe katika kundi la kukosa. Sisi wa TZ hatunaga kinyongo na mtu. Lakini ukijishaua shaua na kujifanya uko juu wakati njaa inakutesa tuna kulipua tu.
 
No one hates you. Ni tabia yako mbovu inakufanya uwe katika kundi la kukosa. Sisi wa TZ hatunaga kinyongo na mtu. Lakini ukijishaua shaua na kujifanya uko juu wakati njaa inakutesa tuna kulipua tu.
Sasa angalia njaa gani tena???
 
Sasa angalia njaa gani tena???
I told you we don't hate you guys. Lakini jinsi mnavyo jifanya wakati sio ndio tunaamua kuonesha mabaya yenu. No one in TZ hates kenyas. Nyie ni ndugu zetu na marafiki zetu. Lakini mnajishaua kwa vitu ambavyo hamna.
Ndio maana unahisi tunawachukia.
 
Wakenya get ready anakuja kujenga na uwanja wa mpira pale kisumu hii ni neema ya kipekee.
 
Uku jf nikutambiana nakurushiana maneno kama gengeni ....mada zinatolewa +ve comments zinakua chache pumba nyingi na mapovu yasionasababu...
Sijui ndio tabia za watu warika moja au shida iko wapi. . . ..threads by nyingi kila kitu mtu anatengeneza Uzi. ..
Utafika mda ata mtu akilaatatengeneza Uzi sasa na kupost picha.....embu tubadilike guys tabia za ajabu za nn??
imekua kama magenge ya wauza samaki au Kkoo shimoni. nadhani tutoe neno la home of great thinker at least kwa mda. kwa sasa hapa JF wenye matusi na maneno ya kuudhi ndio wengi.
Aisee jamaa! Hizo clips huwa nazitoa YouTube.
 
Hapa ndipo napowasifu Wakenya.. Mko vizuri sana kwenye customer care na wajanja mno
kwa kampuni za kibinafsi ziko sawa, lakini za serikali usithubutu!
lakini sikuhizi kuna zile huduma center zimegeuza kabisa vile serikali inahudumia raia
 
NCHI YA KENYA NI TAJIRI WATU WAKE WALIOWENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA ILA WAMEKUA TRAINED KUSEMA WE ARE RICH AND INTELLIGENT LAKINI TANZANIA WATU WAKE NI RICH NA THEY LIVE COMFORTABLE ILA INCHI INA UCHUMI WA WASTANI. MASIKINI WA KENYA ANATIA HURUMA KUTOKANA NA MFUMO WAO WA UBEPARI, ANAKUA JUU YA MAGOGO KWELI KWELI YAANI. LAKINI BONGO WE LIVE AS A COMMUNITY, WE SHARE OUR LITTLE WE HAVE AND ENJOY.
 
imekua kama magenge ya wauza samaki au Kkoo shimoni. nadhani tutoe neno la home of great thinker at least kwa mda. kwa sasa hapa JF wenye matusi na maneno ya kuudhi ndio wengi.
Mi hua nashangaa sana kwanini wanaiita hivyo....alafu ukikaa sana wanakuita expert member..hahaha
 
Mi hua nashangaa sana kwanini wanaiita hivyo....alafu ukikaa sana wanakuita expert member..hahaha
Kama kuna kitu kinakuudhi hapa JF ujue hakikuhusu. Kila mmoja ana uhuru wa kuongea.
 
NCHI YA KENYA NI TAJIRI WATU WAKE WALIOWENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA ILA WAMEKUA TRAINED KUSEMA WE ARE RICH AND INTELLIGENT LAKINI TANZANIA WATU WAKE NI RICH NA THEY LIVE COMFORTABLE ILA INCHI INA UCHUMI WA WASTANI. MASIKINI WA KENYA ANATIA HURUMA KUTOKANA NA MFUMO WAO WA UBEPARI, ANAKUA JUU YA MAGOGO KWELI KWELI YAANI. LAKINI BONGO WE LIVE AS A COMMUNITY, WE SHARE OUR LITTLE WE HAVE AND ENJOY.
Unajua kwanini kenya ni ya kwanza Africa na ya 12 duniani kwa world giving index? World Giving Index - Wikipedia

wakenya wengi sana kutoka nje hutumia familia zao hela, na wakenya wengi zaidi waishio mijini hutumia pesa familia na wannhusianao kule vijijini...hapa kenya kuna watoto hua waliteseka kulipiwa karo ya chuo cha sekondari lakini unakuta wanaenda kusomea degree nje ya nchi kama marekani ksa watu walimchangia akasome huko maana alifanya vizuri kwa mtihani wa mwisho..

watu huchangiana pesa bila kujuana huku kila siku
 
Unajua kwanini kenya ni ya kwanza Africa na ya 12 duniani kwa world giving index? World Giving Index - Wikipedia

wakenya wengi sana kutoka nje hutumia familia zao hela, na wakenya wengi zaidi waishio mijini hutumia pesa familia na wannhusianao kule vijijini...hapa kenya kuna watoto hua waliteseka kulipiwa karo ya chuo cha sekondari lakini unakuta wanaenda kusomea degree nje ya nchi kama marekani ksa watu walimchangia akasome huko maana alifanya vizuri kwa mtihani wa mwisho..
Kama wakenya hutumia ndugu za huko nyumbani; mbona njaa haiishi watu wanakufa na njaa!!!? Hapa TZ mtu hawezi kufa na njaa.

Mbona kenya ndio nchi inayoongoza kwa slams duniani?
Kah!! Hizo pesa zinawasaidia nini kama sio propaganda mnayolishana na kufurahia ujinga!!!?
 
Kama kuna kitu kinakuudhi hapa JF ujue hakikuhusu. Kila mmoja ana uhuru wa kuongea.
sijapinga uhuru wa kuongea... ninacho sema ni hakuna mtu ni great thinker au expert eti sababu anaongea sana hapa JF, kuna watu wamexidisha upuzi hata kuliko ile siku ya kwanza waliingia jf
 
sijapinga uhuru wa kuongea... ninacho sema ni hakuna mtu ni great thinker au expert eti sababu anaongea sana hapa JF, kuna watu wamexidisha upuzi hata kuliko ile siku ya kwanza waliingia jf
Kwani u expert na u greter thinker unapimws vipi kwenye social media?
My friend this is just social network. We just socializing sometimes don't take serious everything.

Ndio maana ninasema kila mmoja yupo na uhuru wa kuongea na hakuna kipimo cha kusema huyu ni expert au la maana hatufanyi mitihani.

At the end of days wamiliki wa mtandao lengo lao ni kupasha habari na kupata pesa basi.
 
Magufuli jets into Nairobi Monday for two day state visit
By BERNARD MOMANYI, NAIROBI, Kenya, Oct 28 – Tanzania’s President John Pombe Magufuli is expected in the country on Monday for a two-day state visit.

It will be his first visit to Kenya since taking over from Jakaya Kikwete in October last year.

Sources in government have told Capital FM News that Magufuli’s visit is anchored on the nomination of Foreign Affairs Cabinet Secretary Amina Mohammed’s to head the African Union.

“The Tanzanian President will be here (in Kenya) next week from Monday for two days,” a government source said, but there was no immediate statement from State House, although it is understood that the announcement will be made at the weekend ahead of Magufuli’s arrival.

Capital FM News has established that Magufuli will be affirming his country’s support for Amina besides holding bilateral talks with his host President Uhuru Kenyatta at State House Nairobi.

Magufuli has not visited Kenya since becoming Tanzania’s president in October last year when he took over from Kikwete who frequently travelled to Kenya among other countries in the region and across the world.

Magufuli, who marked his first year in office on October 25, is only known to have made two foreign trips—first to Rwanda and later Uganda.

Jenerali Ulimwengu, a political analyst in Tanzania is quoted by the Deutsche Welle saying that “Magufuli is definitely a different kind of president from the presidents we have had so far. He has distinguished himself from the other presidents because he has a more direct and frontally-driven style in which he goes out and does things directly without too much consideration for protocol and things like that.”

Magufuli campaigned to be elected with a pledge to fight corruption, which he has taken head-on, often making impromptu visits to ministries and other government departments where he has sacked several officials and ordered their investigation leading to successful prosecution.
Magufuli jets into Nairobi Monday for two day state visit - Capital News
Ngoja tusikilize hotuba ya kinyantuzu[emoji196]
 
Na hao watanzania wanaochukia wakenya ni wapuuzi tu
Mkuu Kimsingi hakuna mtz anaeichukia Kenya,

But I may be surprised kama haupo aware na michezo ya kinyang'au ya wakenya against Tz hadi Leo..

Hata hivyo nadhani wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa, labda ungepitia baadhi ya nyuzi za zamani ungeona the way wakenya wa mitandaoni wanavyoichukulia bongo, au pitia hata media zao labda utaelewa why watz kwenye hili jukwaa tuna act this way only against them,

Sisi watz hatuna shida na mtu ila mwenye shida na sisi lazima tuwe na shida nae pia.
 
Back
Top Bottom