Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
PovuNikwambie kitu dogo. Kiswahili hujui. Hebu turudi kwenye mada maana hapa unajidhalilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PovuNikwambie kitu dogo. Kiswahili hujui. Hebu turudi kwenye mada maana hapa unajidhalilisha.
Unawajuwa wa TANZA-KENYA? Ni wakenya waliozamia Tanzania, tukawalisha ugali wetu mpaka wakanenepa halafu wanaaza kututukana. (Ni shenzi type tu).Wewe ni nshenzi type tu. Kila kukicha ndugu zako huko kenya wana kufa njaa.
Askari wenu wanapukutika somalia.
Wanaume hawanauwezo wanakong'otwa na mademu.
Ukabila umeshika hatamu.
Siasa za kuuana zimepamba moto.
Acha kujiaibisha wewe dogo.
Au unataka tumwage mboga na ugali?
Nasikia wengi wenyu mtajipanga kwa Barabara kupiga nae selfie.Hehehe jameni mbavu zangu....nimecheka kama chizi.
JPM Karibu Kenya, naona anategemea kutembelea viwanda Thika. Ina maana atatumia flyover za barabara kuu ya Thika na atajifunza kitu.
Huyo Uhuru mvuta bangi wenu hata pushup moja hawezi. Akienda chini tu hawezi kupanda juu, atatapika viroba anavyokunywa kila siku.View attachment 426230
Baada ya kuomba msaada!!
Yeah and of all presidents and kings in africa he is the richest statesman ....riche than the morrocan king FYI ....Huyo Uhuru mvuta bangi wenu hata pushup moja hawezi. Akienda chini tu hawezi kupanda juu, atatapika viroba anavyokunywa kila siku.
Netanyahu alikuja hatukufanya kitu mbona tuanze kupiga selfie na mkuu wa nchi LCD????Nasikia wengi wenyu mtajipanga kwa Barabara kupiga nae selfie.
Ongea Kiswahili wewe mkenya.Yeah and of all presidents and kings in africa he is the richest statesman ....riche than the morrocan king FYI ....
kwa saikolojia ya kawaida,ukiona mtu anapenda ku- imitate tabia/mienendo/msimamo ya mtu mwingine,iwe kwa ubaya au uzuri,it's a sign of showing royalty and respect to that person.Inakaa hauwajui wakenya... haya ingiza kichwani mwako alafu ungoje kakenya wajitokeze kumwona.......
naeza nikakuletea video nyingi zikiongelea kuhusu buhari wa nigeria vile pia yeye ni buldozer kiaina kwa kupambana na ufisadi.... alipokuja wakenya hata hawakujua yuko nchini, walifanya kumuona kwa tv badae
because many kenyans admire JPM than they admire netanyahu.to them,he is a special person.Netanyahu alikuja hatukufanya kitu mbona tuanze kupiga selfie na mkuu wa nchi LCD????
Sawa tell urself tht monday tutaonabecause many kenyans admire JPM than they admire netanyahu.to them,he is a special person.
mtakuwa mmejifungia kwa hao mki watch through television zenyu.Sawa tell urself tht monday tutaona
On a monday!!! Hahaha tuna fwata pesa ama magufuli.....sawa tuone channel gani ndio itakuwa livemtakuwa mmejifungia kwa hao mki watch through television zenyu.
kwa saikolojia ya kawaida,ukiona mtu anapenda ku- imitate tabia/mienendo/msimamo ya mtu mwingine,iwe kwa ubaya au uzuri,it's a sign of showing royalty and respect to that person.
it means he is way better than him and holds him in high esteem.
ushawahi ona mtz yoyote anaiga Uhuru kenyatta?.au ushawahi ona mtz yoyote anafanyia cover videos sauti sol au any kenya musician...?
jibu ni moja tu,JPM hategemei umaarufu wa kupitia social media,ni uchapakazi wake ndio unasababisha ajadiliwe ktk social media kila sehemu duniani.facebook page ya kenyatta uone watanzania kila siku wanafungua roho zao hapo na utendakazi wa uhuru..... kila siku utaina watu kutoka mozambique, ghana, namibia wanajazana hapo wakipongeza....... we inaonekana ni mara ya kwanza kuona rais wako akiongelewa nchi nyengine... huku hilo ni jambo la kawaida sana, usiwache iingie kwa akili yako, utakua unajidanganya bure tu..... huyo magu wenu, akipewa uongozi hapa kenya hatakaa hata miezi miwili, akifunga stesheni moja au apinge upinzani kukusanyika mahali flani, hakutakalika, hakuna biashara yoyote itasonga mbele,....... wakenya wanapenda vile anapambana na ufisadi, lakini hicho pekee ndo kitu wanachopenda, hayo mengine awafanyiayo tunawaonea huruma sana, poleni sana kwa kupelekwa kama vitoto vidogo vya shule na JPM ndie mwalimu mkuu
magu haezi akamsaidia raila... labda ki saokologia...... na vile raila ni mkakamavu hii miaka yote, hata hio nayo magu haezi msaidiaNaona anaogopa kivuli chake! Mwambie atashinda uchaguzi ujao. Asihofu urafiki uliopo kati Odinga na Magufuli.