Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Wewe dogo sidhani kama unauwezo wa kudadavua mambo zaidi ya chuki juu ya TZ.
Kenya mpo na nini cha kujivunia tuje kuomba msaada?

Acha roho ya kunguni ndugu utakufa kwa maji ya moto.
Hatuhitaji chochote kwenu.
Wachana na litoto lidogo hilo
 
Sipati picha wakenya watakavyo jazana ili kumuona Magufuli, maana walimsubiri kwa hamu sana.
Wale watanzania omba omba wanaoishi kenya wako na hamu kabisa, sisi wengine tutakua tunaenda kazini tunasmamishwa tunaona vigari viko na bendera vinatupita..... alafu badae tunaona kwa habari za jioni kwamba rais wa tz alikua kenya kwa ziara alafu ndo tunakumbuka, 'oooh, vile vigari vilitupita ndo maana vilikua na bendera tofauti na ile ya kawaida ya kenya'
 
Is there TV in TZ cause naona mnaangalia news za kenya kweli kweli ....we rule u
 
Ilitosha kabisa kaniuliza, "wewe unajua Kiswahili? " . Hukua na haja ya kuongezea neno " sasa".
Bado nakusisitizia PUNGUZA POVU.
[emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji121][emoji121][emoji121]
 
Ilitosha kabisa kaniuliza, "wewe unajua Kiswahili? " . Hukua na haja ya kuongezea neno " sasa".
Bado nakusisitizia PUNGUZA POVU.
Nikwambie kitu dogo. Kiswahili hujui. Hebu turudi kwenye mada maana hapa unajidhalilisha.
 

Inakaa hauwajui wakenya... haya ingiza kichwani mwako alafu ungoje kakenya wajitokeze kumwona.......

naeza nikakuletea video nyingi zikiongelea kuhusu buhari wa nigeria vile pia yeye ni buldozer kiaina kwa kupambana na ufisadi.... alipokuja wakenya hata hawakujua yuko nchini, walifanya kumuona kwa tv badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…