Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Unawajuwa wa TANZA-KENYA? Ni wakenya waliozamia Tanzania, tukawalisha ugali wetu mpaka wakanenepa halafu wanaaza kututukana. (Ni shenzi type tu).
 
Hehehe jameni mbavu zangu....nimecheka kama chizi.
JPM Karibu Kenya, naona anategemea kutembelea viwanda Thika. Ina maana atatumia flyover za barabara kuu ya Thika na atajifunza kitu.
Nasikia wengi wenyu mtajipanga kwa Barabara kupiga nae selfie.
 
Huyo Uhuru mvuta bangi wenu hata pushup moja hawezi. Akienda chini tu hawezi kupanda juu, atatapika viroba anavyokunywa kila siku.
Yeah and of all presidents and kings in africa he is the richest statesman ....riche than the morrocan king FYI ....
 
Kenyatta in Sudan for a state visit as soon as magufuli is in kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] he totally doesnt like that guy
 
kwa saikolojia ya kawaida,ukiona mtu anapenda ku- imitate tabia/mienendo/msimamo ya mtu mwingine,iwe kwa ubaya au uzuri,it's a sign of showing royalty and respect to that person.

it means he is way better than him and holds him in high esteem.

ushawahi ona mtz yoyote anaiga Uhuru kenyatta?.au ushawahi ona mtz yoyote anafanyia cover videos sauti sol au any kenya musician...?
 

facebook page ya kenyatta uone watanzania kila siku wanafungua roho zao hapo na utendakazi wa uhuru..... kila siku utaina watu kutoka mozambique, ghana, namibia wanajazana hapo wakipongeza....... we inaonekana ni mara ya kwanza kuona rais wako akiongelewa nchi nyengine... huku hilo ni jambo la kawaida sana, usiwache iingie kwa akili yako, utakua unajidanganya bure tu..... huyo magu wenu, akipewa uongozi hapa kenya hatakaa hata miezi miwili, akifunga stesheni moja au apinge upinzani kukusanyika mahali flani, hakutakalika, hakuna biashara yoyote itasonga mbele,....... wakenya wanapenda vile anapambana na ufisadi, lakini hicho pekee ndo kitu wanachopenda, hayo mengine awafanyiayo tunawaonea huruma sana, poleni sana kwa kupelekwa kama vitoto vidogo vya shule na JPM ndie mwalimu mkuu
 
jibu ni moja tu,JPM hategemei umaarufu wa kupitia social media,ni uchapakazi wake ndio unasababisha ajadiliwe ktk social media kila sehemu duniani.

Uhuru Kenyatta anategemea umaarufu kupitia social media kwa 100%.ndio maana kila anachofanya lazima aweke update Fb na twitter ili watu wamsifie.
 
Naona anaogopa kivuli chake! Mwambie atashinda uchaguzi ujao. Asihofu urafiki uliopo kati Odinga na Magufuli.
magu haezi akamsaidia raila... labda ki saokologia...... na vile raila ni mkakamavu hii miaka yote, hata hio nayo magu haezi msaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…