Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Kweli hili jukwaa ni la ubuyu...!!

Hakuna siku inapita bila kuona post ya mange kimambi,

Bila shaka sasa hivi ni bonge la celebrity sababu ya kuongelewa na watu.
 
Siyo mchezo nikileta picha ya mama mlaki na matusi aliyopewa, na sisi ushamba wetu wa bara tunashangaa mchaga gani ana matusi namna hii.
 
Hivi sheria inasemaje, kwa mfano huyu mama alipata green card through her husband, sasa husband hawezi waambia immigration wai cancel, tumemmiss nyumbani
Nimem miss pia.....nataka nione harakati zake sio nyuma ya keybord
 
Siyo mchezo nikileta picha ya mama mlaki na matusi aliyopewa, na sisi ushamba wetu wa bara tunashangaa mchaga gani ana matusi namna hii.
Rita Mlaki alimkosea nini kwani hadi amtukane?
 
Kwani Rais akipiga mkewe tatizo liko wapi si mke wake jamani kosa la Mange liko wapi?? Msema kweli mpenzi wa Mungu mange kasema kweli, tuone magu atachukua katua gani
 

Baada ya kuachika katumia mbinu mpya kukosoa serikali wakitaka kumrudisha anasema Mimi nitakamatwa hivyo hiyo ni mbinu yake ana akili Sana kama sungura yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…