Huyu dada ananishangazaga sana wadau yaani mimi huwa simuelewi,utamkuta masaa 24 kazi yake ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii ,mda wote yupo insta na wasap alafu naambiwa ni mke wa mtu khaaa..hata mimi naamini huyu mzungu alikuwa mvumilivu kweli kweli.
wakuu huyu dada kipindi cha kampeni kama mlikuwa mnafuatilia post zake instagram ni mitandao mingine ya kijamii kwenye account zake alikuwa mstari wa mbele kuishabikia ccm na huyuhuyu ndio aliyemsema lowassa kajinyea wala si mwingine,,lakini cha kushangaza juzi kati hapa...amekigeuka chama chake gafla na kuugeukia upinzani,,,sikuizi anajifanya kupinga chama chake ,now amefikia kumponda hadi magufuli aliyekuwa akimsifia kuwa ni dikteta na juzii nilimnukuu akisema kuwa wabunge wa ccm ni majipu......vilevile wakuu huyu dada namfananisha na mwanajeshi mwoga anayejifanya kupigania haki za nchi yake wakati yeye kajificha kwenye nchi ya adui
Huwezi pigania haki za nchi yako wakati unajijua umejificha kwenye nchi za watu
Huyu dada nna wasiwasi nae atakuwa anakula bangi au hana akili timamu