Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi


Huyu dada alizidi kwa kweli. Hata mchina asingeweza
 
Mi namshangaa utajifanyaje unaipenda mchi yako instsgram na facebook?
 
Ila sidhan kama atafurahi, watoto aliozaa na mzungu watamuokoa
 


mkuu wewe hata ID tu ni ya uongo, angalau mwenzako anajulikana

ni hivi sio kigeugeu ni kuwa anayasema ya moyoni na sio mwongo, sio mnafiki

kuwa anashinda mtandaoni muda mrefu hiyo ndo maada tata na maridhawam japo inakugusa na wewe kuwa mlikuwa pamoja muda huo
 

Hivi mkeo angeshinda mitandaoni Kama Mange mngeelewana?
 
bora tupumzike maana hyo mke wa mzungu!!llooohh!hatunywi chaiii!!hatupumui!!
yaani alikua anaona wanaochwa wote km no failures flani hv !!kumbe ni talaka no matokeo tu ya kushindwana maana ktk maisha ya ndoa ni kua unaenda ishi na MTU usiemjua mmekutana ukubwani,malezi tofauti nk
so km mtasurvive till death its OK na mkiachana sawa tuu
 
Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani



Huyo Mzungu ajifunze, kamwe usijichanganye na masikini kama wewe ni tajiri kuna sababu kwa nini watoto wa Wafalme au Mabilionea huwa hawaoi masikini wasiowafahamu, wewe kama unataka kusaidia masikini toa fedha wape halafu achana nao waishi wenyewe kwa wenyewe, sasa cha moto atakiona siajabu nyumba ikauzwa wakagawana mkwanja ambao hawakuuchuma pamoja, dadadeki!

Hilo pia ni fundisho kama wewe ni mtoto wa kishua Bongo usijidanganye hata siku moja kwenda kuoa Tandale au kwetu Ilala Kota utalia siku moja, ni bora uoe huko huko huko kwa washua O'bey, kwa maana ukichukuwa mtoto wa Ilala Kota lazima atakudanganya tu na kukutoroka kuja kwa masela kutukumbushia, somo hilo watoto wa kishua achaneni kabisa na watoto wa uswazi kwetu hawa hawafugiki tunawezana wenyewe tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…