Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

You have spoken my mind
Ubarikiwe
Alitangaza rasmi: Mtangoja sana mimi kuachwa! Nikiachwa niko billionare (kwa sauti ya Zari) hahaaaaaa!!! Wapi bilionare Mange. Hata chumba hajapewa.... Mwanaume anafight for custody ya watoto. Woman is unfit for kids all the time on instagram.
 
You have spoken my mind
Ubarikiwe

alishasema hapa kuwa hawezi kuachwa habarikiwi mtu wala nini halaa

MangeKimambi said:

Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa...

Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni Tanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye

Cha ajabu ni nini sasa??
Kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza duniani kupokea au kutoa talaka?

Cha ajabu ni pale ambapo alidhani yeye peke yake duniani ndio mwenye ndoa ya kitajiri na kutwa kudharau walioolewa na waafrika. alijipa 100% kua kuachika kwake mwiko maana wanawake wa kipare hawaachiki. Ukichanganya na jinsi alivyokua akiwachamba wenzie kwenye mitandao ndio cha ajabu alichokua nacho, vinginevyo kuachika ni kawaida. angalau aonje joto ya jiwe na yeye aingiie mitaani na watoto watatu aone utamu wake.
 
Nashangaa kuona wanawake wanafurahia
Mwanamke mwingine kuteseka. Kwanza Mlijuaje
Kama yeye kaachwa labda ndie alie acha.
 
Nashangaa kuona wanawake wanafurahia
Mwanamke mwingine kuteseka. Kwanza Mlijuaje
Kama yeye kaachwa labda ndie alie acha.

Hatufurahii lakini alisononesha nyoyo za wanawake wengi mno in case hujui. alimvua nguo Hoyce Temu kwenye mitandao kwa ugomvi na mdogo wake Hoyce, akagombana na ndugu yake gani sijui yuko US, akarukia familia nzima, kina Tunu Mssika, juzi hapa akamrarua Nambua Mlaki, pamoja na wazazi wake, hao ni wachache tu. usitetee kama humjui Mange, au kama ni ndugu yako, pole na wewe, lakini she deserve it.

Wewe unamuona Mange mmoja unasahau kundi la watu aliowaathiri ki saikologia......Alimtukana sana Mhe Lowasa ambaye ni sawa na baba yake, wakati wa kampeni wakati yeye sio mwanasiasa, ghafla akamrukia Rais Magufuli, maana kila kitu anajua yeye. Pamoja na talaka iliyopo njiani bado mpaka leo anapambana na Betina na Le Mutuz mitandaoni. Huyu sio mtu, acha yamkute, pamoja na kwamba tuna sympathise kuachika lakini kwa tabia yake, haya ndio alikua anataka. Midomo ya watu imemlaani.

Amejawa na wivu ulikithiri, hataki kuona mwanamke mwenzie kamzidi, lazima atafute kitu wagombane. Alijaribu sana kumuingilia Zari, akasahau ile ni namba nyingine, hana muda wa kulumbana na kinyago kama yeye, Zari hajawahi kumjibu hata siku moja, akaamua kukaa kimya na yeye maana ni sawa na kupigana na ukuta.
 
Divorce marekani dili lazima akamate 50% ya assets plus monthly child support plus alimony, she's set for life!
Kama ujazifanyia kazi hata ukipata 75% zitayayuka kama barafu..
Na kwa vile mwenye zake mchakalikaji atazichanga na hali kurudi kama mwanzo hiyo moja,,
Pili=ukiona kuna kajiharufu cha talaka unakwenda kuchukua mkopo farsta Mamaaake alafu inafanya kitu mbaya...
Kuna vifungu vya sheria No........ na No .....vinakutoa kwenye 50% na kumpatia asilimia 5 ikizidi 10 na mnasaidiana kulea watoto 50_50...
Je bado ujazodoka?
 
Marekani? Kuchomoka kwenye hiyo 50% ni ngumu sana na hiyo child support na alimony ni monthly payment, child support mpaka mtoto afike 18 na alimony kama nusu ya muda wa ndoa so kama ndoa miaka 20 basi alimony unalipa miaka 10. Alimony inabidi imweke wife kwenye standard yake ya maisha ya ndoa so kama hana kazi umeunia hapo.
 
Back
Top Bottom